Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Bingu uliyoenda ni Sawa na mbingu aliyoenda zamaradi?maana yeye alikuta Mungu anaofosi na computer.
 
Bingu zipo lakini Sidhani kama binadamu yoyote ameenda kabla ya hukumu.
 
Kuna watakao kwenda
Kunawatakao baki
Ole wao wakakaobaki
Ole yetu tutakaobaki
mwenye kuamini na aamini
 
Nafahamu hilo. Ninajua maagent wengi wapo humu na nikiri leo nimefanikiwa kwa kufikisha ujumbe huu wa uwepo wa Mungu. Kesho nitaleta ushuhuda mwingine wa kutokewa na Yesu Kristo.
 
Wewe unaamini mbinguni ni wapi? Tuanzie hap

Hakuna sehemu nimesema nataka kuaminiwa. Nioneshe nimeandika wapi nataka kuaminiwa na watu wasionijua na tunaotumia nao fake ID? Bwana mdogo bwana.
Hiyo habari yako umeandika stori ya kufikilika, kama yakufikilika sawa hutaki kuaminiwa, ila kama ndo ushuhuda wako alafu unakana kuwa hutaki kuaminiwa wew nawe ni mnafiki hujui hata dhamira yako yakuandika hiyo stori yako
 
Hahaaaaaa, mbona una niongoza nijibuje? Haya ila nakupenda we bro huna baya na mtu. Nilikuwa naandika comment za kukujaribu ukereke ila naona upo safi. Haina shida mkuu, nitaeleza siku nyingine ushuhuda juhusu Yesu.
Tuko pamoja mkuu[emoji1]
 
Hahaaaaaa, mbona una niongoza nijibuje? Haya ila nakupenda we bro huna baya na mtu. Nilikuwa naandika comment za kukujaribu ukereke ila naona upo safi. Haina shida mkuu, nitaeleza siku nyingine ushuhuda juhusu Yesu.
Naisubiri Iyo siku mkuu,usisahau kunitag[emoji1]
 
Mungu wa kwenye hivyo vitabu sio mungu muumba wa yote.


Nitakubali vyoteee ila nitabisha hadi siku nachomwa moto kuwa kuna "kuchomwa moto milele" wha a fuckin' dude is this..!!
 
Shimo lisilo na maji si tigo hiyo Sasa au unazungumzia shimo gani?
 
Mungu anakufunuliwa wew uone unachotaka yeye sio wewe unachotaka na kumbuka Roho inakuwa imezima na ufahamu na maarifa yanatoka kwake huwezi ukajiamulia wew Kaka hii Dunia usiombe yakukute ndo utajua kuwa yako mengi acha tu ndugu…
Kwaiyo na wewe una duka Lako la kiroho na unakula sadaka kwa porojo Kama hizi
 
Kwaiyo na wewe una duka Lako la kiroho na unakula sadaka kwa porojo Kama hizi

Hapana ndugu wala sio Porojo mimi Nina piga kazi now niko kazini pia nili share experience yangu niliyonayo. Sina kanisa wala sio mchungaji ni mtu wa kawaida tu..
 
Kwaiyo unataka tukubali Kila upuuzi tunao ambiwa? Nyie ndio maana mnajambiwa mpaka usoni mkiambiwa ushuzi wa pastor unaupako.

Kukosa ufahamu ndo tatizo na kuwa mtumwa wa kanisa au mtumishi Jambo lililo bora ni kumuamini Yesu Kristu mimi ninajitambua sio mjinga [emoji1317]
 
Sasa ili iwaje mkuu. Mimi nina familia na nitauzaje? Umeelewa hilo andiko alimaanisha nini?
Hilo huwezi kufanya. kwasababu hata yule aliwafungisha watu mpaka wakafa yeye na familia yake waliokua wanakula.
 
Wewe ni kichaa ,nilidhani unakuja kwa hoja ya Mungu kukufunulia kuwa Mungu yupo kupitia akili ya Kiafrika kumbe bado ni akili za utumwa wa kifikira.

Hakuna mtu hapa duniani ambaye haamini kuwa MUNGU yupo na kama yupo basi swala la muda tu.

Uwepo wa Mungu unaweza kushudiwa kwa hoja ndogo sana kuwa kwanini kuna mtu,mbwa,mawe,ngomne,maziwa,milima,mvua,miti,nk.

Napia kwanini wanyama hawa kuna madume na majike wanaozaliana kwa sura ileile na kwa njiia ileile ya kujamiiana kwa asilimia kubwa hayo machache tu yanatosha kuthibitisha kuwa Mungu yupo.

Ndoto zipo tangu enzi za mababu zetu hata kabla ya TAG bali utafasiri wa ndoto unakuja kutokana na tafasiri ya kila kundi au itikadi.

Ujinga uliowakumba waafrikana kama wewe ni kujiita mkristu yaani unatokana na kristu wakati wewe ni Mbantu uliyetikana na mababu na mabibi zako.

Sasa hao walio kuletea TAG na kukufundisha kuhusu biblia ukaifuata na kusahau mila na desturi zako wakakuachia sheria na katiba za mila na desturi zao na kukwambia kuna mbinguni ukaamini na kufuata kumbe wanadumisha unyonyaji na upigaji kupitia sadaka kwa kisingizio cha UTUMISHI WA MUNGU au UINJILIST ni upumbavu.

Hivi kama hao walioleta TAG na kukufundisha biblia kwa kusema kuna kwenda mbinguni na tena wakakufundisha kuwa dunia ni DUARA na huko juu ni ANGANI ukiruka kuanzia point A hadi B kwa usawa uleule unarudi palepale ulipoanzia je bado inawaamini kwa kipi?

Umefika wakati WAAFRIKA tuamuake inakuwaje mtu anayekuaanda na kukuelekeza kwenda kwa Mungu aliyetuumba bure akutoze hela?unatafuta hela familia yako ni maskini unapelekea tapeli anayefanya biashara kwa kivuli cha MCHUNGAJI au ASKOFU eti anakuombea upate mafanikio ila yeye akitaka mafanikio MMCHANGIE HELA hiyo ni akili kweli?

Biblia ni sanaa ya kimaandishi inayoyawaliwa na mhusika mkuu ambaye ni yesu kwa kuvaa uhusika aliopewa na muigizaji uliye mtaja wa filamu ya yesu.

Utumwa wa kifira ndiyo umaskini wa Wafrika ombeni moja kwa moja kwa MUNGU mtapata siyo kupitia kwa hao matapeli masheikh na wachungaji hakuna kitu hicho mtu kama wewe hawezi kukupeleka mbinguni hata siku moja kama kweli hao wachingaji na masheikh wanauwezo huo basi wawaombee MAFISADI wote waomoke au wapotee sasa watawaokoa watu gani hao na kuwaandaa kwenda mbinguni wasikokujua wakati kuna majizi yapo tu wanashindwa kuayabdilisha?
 
Kuna tofauti ya kuona na kuota ,wewe uliota. Na kwann malaika awe mweupe hakuna malaika mweusi ? Au dhana ya utumwa bdo inakutawala? Any way wajinga ndio waliwao. Mzungu alikuletea dini ili akutawale kirahisi. Kwann akupe elimu ya dini bure alafu ya darasani ulipie? Think twice
 
Wacha weeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…