Mbingu ni kweli ipo na huu ni ushuhuda wangu binafsi

Inaonekana una amini Mungu kwa sababu umetishiwa moto. Mbali na hayo matisho Mungu ni Hadith ya kufikirika tu. Hayupo hajawai kuwepo na hatokaa awepo
 
Sasa mkuu hapa najiandaa niende kazini kama Mungu ananipenda kwanini asinipe pesa nilale tu?
Na ukizingatia ni kipindi cha mvua usingizi ulivyo ? Yaani "printed piece of paper" ndio inakutoa utu na kumthaminisha Mungu na pesa?

Kwani umulele wamtu ulipangwa nanani?
Hayo simajukum yaalieniumba ndie anaejua alivyoniprogram kuwa Mimi nitakuwa waupandegan
Hapana bro, Mungu ni muaminifu, wa haki, halazimishi na wala sio mkoloni. Yeye amekupa uhuru wa kuchagua nji uipendayo. Amekuumba mwanadamu ukiwa kiumbe kitimilifu na kukipa mamlaka ya kuchagua wapi pa kwenda. Umilele wako unauandaa wewe mwenyewe kwa kuchagua njia uipendayo. Yeye anasema tazama nimeweka njia mbili kwako njia ya uzima na njia ya mauti. Chagua wewe uzima au mauti. Njia ya uzima ni kumuishia yeye katika kicho na utakatifu ila njia ya mauti ni kuishi katika dhambi. Chagua fungu lako sasa bro.
 
Inaonekana una amini Mungu kwa sababu umetishiwa moto. Mbali na hayo matisho Mungu ni Hadith ya kufikirika tu. Hayupo hajawai kuwepo na hatokaa awepo
Wacha weeeeee kizazi cha dotcom
 
Wangapi pia waliwahi kuwaza na kuota kumiliki magari na majumba ya kifahari kisha wakaamka na kukuta wako mikono tupu?
 
Kwaiyo ndugu ili nipate uzima wa milele natakiwa kumsikiliza pastor wangu kwa mfano akinijambia usoni akikojolea maji tunywe akituambia tunyonye matiti yake akituelekeza tufunge mpaka tufe. Na tukikataa tunakua tumechagua mauti?
 
We nenda kwenye uzi wako wa selfie tu kule huku hupawezi sister angu.πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†
Kanionyeshe nilipocomment kwenye uzi wa selfie.
Kama utachunguza vzr mada kama hizi ndo zinanivutia. Ili nishuhudie mazombie kama nyie mkipelekwapelekwa hovyo.
 
Wangapi pia waliwahi kuwaza na kuota kumiliki magari na majumba ya kifahari kisha wakaamka na kukuta wako mikono tupu?
Hongera kwa comment na tunaithamini comment yako japo una IQ ndogo sana dogo.
 
Kanionyeshe nilipocomment kwenye uzi wa selfie.
Kama utachunguza vzr mada kama hizi ndo zinanivutia. Ili nishuhudie mazombie kama nyie mkipelekwapelekwa hovyo.
Sawa sister, kuwa na siku njema.
 
Hallucinations hizo, hata TEJA nae akipuliza BANGI zake akabwia UNGA, nae anafikw ULAYA akapigwa Story na wanamuziki wakubwa tu...then ALOSTO ikishuka anajikuta yupo TANDALE kwa MTOGOLE[emoji1787][emoji1787]
Wacha weeeeeeeeeeee
 
Wacha weeeeeeee. Kizazi cha chanjo hiko kwenye ubora wao.πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…
 
Wacha weeeeeeeeeeeee
 
Nijaaminishwa katika quran au biblia ili kuamini dini za kimapokeo zilizoletwa na wanyonyaji,dhurumati,wezi,nk.

Ni wapi iwe Afrika,Asia,Amerika au Ulaya amewahi kukufuka au kufufuliwa mtu yeyote?

Basi wale wote wanaomfuata yesu au muhamad hasa masheik na wachungaji wangekuwepo waliowahi kufufuka.

Mtu hupaswa kuamini kinachomtokea au kilichowahi kutokea ktk jamii anayoishi siyo VYAKULETEA /KUHADITHIWA.

Yaani mnaoshinda mnasali miskitini na makanisani mmekithiri kwa umaskini hao wanaodai wanapeleka mbunguni ni wanatajirika kwa ujinga wenu.

Ni wapi unapoweza kuwatenganisha au kuwagundua wanaosali na wasiosali kwa kuwaangalia?

Ongezeni na akili zenu
 
Hakuna uthibitisho wa moja kwa moja zaidi ya kuwa ni story za kubumba na kufikirika.

Kiufupi hata mimi huwa naota napaa, ndoto hazina maana yoyote.

Mara nyingi watu wanaota kile wanachokifikiria sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…