Inachekesha sana ndo ujue tatizo kubwa ni utofauti wa imani kati ya mtu na mtu , Zumaridi alipondwa sababu tuu alikuwa na mlengo wake wa kiimani , ila huyu mwakasege na huyu mtoa mada wanajitetea sababu imani yao ni moja , ila wote ni wahuni tuuu hawana loloteImani bwana
Mwenzako zumaridi ana matatizo ya akili ila wew mzima yani unajiona wew upo sahihi sana kusema kwamba ulifika mbinguni ila zumaridi muongo alafu mbinguni ulienda ukaimba na kurudi tu.
enh tueleze kidogo hao mliokuwa mnaimba pamoja na wametoka duniani au wenyew in Wakazi wa huko
Wewe unaamini mbinguni ni wapi? Tuanzie hapo kwanza.Naona mwny thread hatak kunijibu,nalileta swali kwenu nyote unaeamini mbinguni ni juu ,ila naomba mtu huyo atakaesema ndio mbinguni ni juu awe amepita na darasa la elimu dunia pia
Hongera kwa comment yako, natambua mchango wako katika huu uzi.Inachekesha sana ndo ujue tatizo kubwa ni utofauti wa imani kati ya mtu na mtu , Zumaridi alipondwa sababu tuu alikuwa na mlengo wake wa kiimani , ila huyu mwakasege na huyu mtoa mada wanajitetea sababu imani yao ni moja , ila wote ni wahuni tuuu hawana lolote
Hongera kwa comment yako. Natambua mchango wako kwenye huu uzi.Sawa zumaridi pro
Vipi Mchepuko wako mama J anasemaje katika hili😃😀😅🤣😂?
Wacha weeeeeee na viiingereezaaa viingiiiiiii, hongera kwa comment yako.Sub conscious + super conscious
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani mkiota tu ndoto mpo mawinguni mnasema mmepewa maono mmeenda mbinguni mmeonana na Mungu?
Mbona Mimi huwa naota napaa, kwahiyo huwa naescort malaika au huwa naenda mbinguni kupiga story?
Ila michepuko ni rahaaaaaaaaa, wanadamu Bwana. Yaani unakazania kupinga dini ilhali unajisifu kuzini. Mungu akusaidie kwa kweli.Hizi Dini zina ulevi mbaya Sana[emoji26]
Story za kutungwaa tyuuhMambo ya imani magumu sana.....na ugumu unakuja zaidi huwa hayana uthibitisho wa moja kwa moja.
Hongera kwa kufika mbinguni
Wahuni tu wote kiujumla usisadiki cha mwenzako kuwa kweli ila yey uongo ule ule wa zumaridi anataka kuamuniwaInachekesha sana ndo ujue tatizo kubwa ni utofauti wa imani kati ya mtu na mtu , Zumaridi alipondwa sababu tuu alikuwa na mlengo wake wa kiimani , ila huyu mwakasege na huyu mtoa mada wanajitetea sababu imani yao ni moja , ila wote ni wahuni tuuu hawana lolote
Hakuna sehemu nimesema nataka kuaminiwa. Nioneshe nimeandika wapi nataka kuaminiwa na watu wasionijua na tunaotumia nao fake ID? Bwana mdogo bwana.Wahuni tu wote kiujumla usisadiki cha mwenzako kuwa kweli ila yey uongo ule ule wa zumaridi anataka kuamuniwa
Haswaaaa umempatiaaa vizuri, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanini unasema zumaridi ni mental case? Kwa sababu anaongea pumba sio? Kwa taarifa yako wewe na zumaridi mpo kundi moja. Kama ni maono wote mna maono kama ni shida ya akili wote ni mnayo.
Thubitishaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Yesu walimpinga, hata wewe watakupinga.. Mungu ni harisi, mbingu na malaika wa Mungu ni harisi, maono na ndoto vipo na uzoefu wa ki Mungu upo.. Mungu ni Yule Yule jana , leo na hata Kesho
[emoji1787][emoji1787][emoji38]kweli aisee,wanafananisha mawinguni na mbinguniYani mkiota tu ndoto mpo mawinguni mnasema mmepewa maono mmeenda mbinguni mmeonana na Mungu?
Mbona Mimi huwa naota napaa, kwahiyo huwa naescort malaika au huwa naenda mbinguni kupiga story?
Hahaaaaa vijana wa chanjo hao. Much knowing lakini hawajui chochote zaidi ya kubett na kuongelea ngono tu.Kwanini unasema zumaridi ni mental case? Kwa sababu anaongea pumba sio? Kwa taarifa yako wewe na zumaridi mpo kundi moja. Kama ni maono wote mna maono kama ni shida ya akili wote ni mnayo.