Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

halafu tukubaliane, mle ndani game ni ngapi? moja, mbili au tatu. hii ya kukimbia kimbia siyo poa.
 
Castr da mnalegeza sana mazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] υjυe мι ѕιo ĸιвonde ѕeмa nѕнazoea ғrencнι нιlo вrιтιѕн ѕιlιjυι vιzυrι nιlιjιғυnza нιvι мajυzι ιla ѕιo мвaya jana na мιмι nιlιpaтa тυra мoja nĸajιpιgιa anajιιтa @kibondesugu [emoji16][emoji23]
 
kibonde sugu ni tula wa matula
 
Castr da mnalegeza sana mazee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] υjυe мι ѕιo ĸιвonde ѕeмa nѕнazoea ғrencнι нιlo вrιтιѕн ѕιlιjυι vιzυrι nιlιjιғυnza нιvι мajυzι ιla ѕιo мвaya jana na мιмι nιlιpaтa тυra мoja nĸajιpιgιa anajιιтa @kibondesugu [emoji16][emoji23]
Ulivyosema dalmax unampiga sana sikujua kama ni french
 
Eti Tula wa matula [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nιмecнeĸa ѕana
Kuna Jamaa nimemuuzia copy mbili tu , saiz anasimbua mtaani kwao, pandu na samba ,saizi anaitwa bigwa huko kwao wewe unasubiri Nini? Nicheki pm Nikuuzie ,
 
Ulivyosema dalmax unampiga sana sikujua kama ni french
Draft ni copy na hesabu ila ukiwa unapiga hesabu bila kujua , hesabu zinaweza kupelekea kufungwa , unajitega tu. Kama sumu ya pandu, unaona draft laki zuri ,kuja kushituka ushatupiwa goli.
 
Haha mzee fundi gani anaetoa copy Bure , we si hujui, ujui wakina noel, issa mamba , nduli wote wanauza copy, hawachezi

Haha mzee fundi gani anaetoa copy Bure , we si hujui, ujui wakina noel, issa mamba , nduli wote wanauza copy, hawachezi Bure,
Hao wote vibonde.
Heri ninunue kwa mkulima mtaalam wa madanali.
Ht ww bdo tura sana huna miguu yeyote ya kunikimbiz
 
kwani mkulima, alivyokuwa anapambana na noel , Ronald, ramso, na wengine zile oj si Kuna watu walizamini ule mpambano, au ulizania walicheza Bora, mpambano wa mkulima na Ronaldo iliwekwa 20000, watu tushuhudie mpambano,
 
Back
Top Bottom