Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Huna kiwango cha kunifunga, lile goli lilifungwa na kamisaa sio wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna kiwango cha kunifunga, lile goli lilifungwa na kamisaa sio wewe
Anafanya mambo yakihuni...anajua lakini..Juma mpemba naona kama muniri amufanyia faulo, au mie sielewi?
Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
Niko namrudia munir na copy za sambaJuma mpemba naona kama muniri amufanyia faulo, au mie sielewi?
Sent from my TECNO KD7 using JamiiForums mobile app
Kwa kipigo unachopokea wewe unaweza sema umechukua ushindi hapa?Turudi, nimeona umeondoka.
Twende nikakunyoosheNiko active kwa hiyo website username yangu ni Scars6.....siwaoni
Hahahahahaha vp sie wa pembeni tunaweza anaangalia mchuano liveKuna mwamba anaitwa mdakabomu anavyoanza unaweza mpiga hadi goli 5 ukahisi ni kibonde. Jamaa jana nilimchakaza goli 5 lkn nashangaa alianza nipigia sijui kopi gani nikala mvua 10 mfululizo. Kama upo humu ndani leo nakusaka nikitoka tu job.
Yaphyo french si ndo hta kinyumenyume mwalana.! 😁
Nipe hiyo webMimi mgumu kukariri copy mimi hua naimprovise humo humo. Kwa jinsi Red Giant ameanza naona ni kopi inayohitaji umakini sana.
Sasa tuache stori ndefu. Kuna website kabisa ambayo watu hua wanacheza online, mimi sikupendezwa sana kwakua wachezaji wa mule naona miyeyusho.
Hiyo website unatengeneza id ila kwa siku ya kwanza utakua hauwezi kucoment bali kucheza tu mpaka kesho yake. Kama kuna mtu anaona yuko fresh aniambie nimtajie web husika akafungue id tukutane kule tufundishane vizuri.
Kwako Scars pia.
Nipe hiyo web
Unatumia jina gani we kibonde?Twende nikakunyooshe
Fungua table nikutungunyue , nilikupiga goli tatuHuna kiwango cha kunifunga, lile goli lilifungwa na kamisaa sio wewe
Una magoli ya plastic hayaozi?
mkuu sogea nikutungue mawiliUna magoli ya plastic hayaozi?
Magoli yenyewe yakupewa na kamisaa umejisetia time limit wakati mi nimekupa uhuru unlimited?
Sasa saizi naset mwisho sekunde 20 ukipilitiza napewa ushindi wa mezani kama ambavyo umepewa wewe