Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Jamani salama humu ndani....nimesoma huu uzi na kuupenda nimeingia mpaka kwenye izo link lakini sijaelewa jinsi ya kuanza kucheza.....naombeni muongozo kuanzia kujiunga na jinsi ya kucheza
 
Jamani salama humu ndani....nimesoma huu uzi na kuupenda nimeingia mpaka kwenye izo link lakini sijaelewa jinsi ya kuanza kucheza.....naombeni muongozo kuanzia kujiunga na jinsi ya kucheza
Utakuta option ya kulog in, register na guest.

Kama una akaunti utalog in.

Kama hauna utaregister kwanza.

Kama hautaki kuregister utaingia kama guest.

Ukiingia na ukakuta pair ya id means hizo pair zinacheza. Ukikuta single id means inamsubiri mtu wa kucheza naye.

Ukikclick pair ya id utaweza angalia mchezo wao.
 
Back
Top Bottom