Wakipekee
JF-Expert Member
- Aug 21, 2019
- 6,194
- 10,711
We ndo mkulimanjooni muone game ya mkulima na somebody janja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo mkulimanjooni muone game ya mkulima na somebody janja
Shilingi ngapi kwa kopi zote?
Copy ni nyingi sana, na nikikuelekeza mguu kwa mguu, tunaweza anzia asubuhi mapaka jioni, na kesho Tena , ila nakuuzia fear, nitumie namba yako wasap tuwasiliane, tujua tunafanyaje ,kuhusu pandu , samba, mabano, na zingine, utasema unahitaji zipi.Shilingi ngapi kwa kopi zote?
Me sichezi kamali kama wengine mzee, wengine awafundishi ila wanachezea ela anakufunga tu, na kuchukua ela zako nyingi, ila akupi Mbinu, na wewe pia karibu Nikuuzie copy, draft burudani, watu tunasahau mpaka wake zetu na bia , tukiwa tunapiga bao raha mustarehe, usione aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], njoo upate ujuzi, utanishukuru sana. Nafanya kwa upendo sio njaa.Huu uzi una mwananchi mmoja ana njaa mpaka kwenye nywele m.mae
Me starehe yangu ni kucheza draft, mpira siangalii,Huu uzi una mwananchi mmoja ana njaa mpaka kwenye nywele m.mae
😂😂😂 unavyonifundisha utakua unaniita tula? hell no!Me sichezi kamali kama wengine mzee, wengine awafundishi ila wanachezea ela anakufunga tu, na kuchukua ela zako nyingi, ila akupi Mbinu, na wewe pia karibu Nikuuzie copy, draft burudani, watu tunasahau mpaka wake zetu na bia , tukiwa tunapiga bao raha mustarehe, usione aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], njoo upate ujuzi, utanishukuru sana. Nafanya kwa upendo sio njaa.
naweza kupa hata online lecture usijali kijana,
Karibu sana[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Asante. Usiwe mgeni wa mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepambana kivyangu kwenye Amerika Checker mpaka Grand Master level. Ila hiyo Grand Master ilinitesa sana ...nadhani nilicheza michezo kama mia 400 ndipo nilipogundua mbinu ya kumshinda. Kwa sasa napambana na Russian Draught, nimekwama kwenye master level....! Na hii ni kali zaidi.
Hapo ndo hamna kitu palaini sanaNimepambana kivyangu kwenye Amerika Checker mpaka Grand Master level. Ila hiyo Grand Master ilinitesa sana ...nadhani nilicheza michezo kama mia 400 ndipo nilipogundua mbinu ya kumshinda. Kwa sasa napambana na Russian Draught, nimekwama kwenye master level....! Na hii ni kali zaidi.
[emoji38][emoji38][emoji38] , sikuiti tula , njoo inbox au nitumie namba ibox , nikucheki wasap.[emoji23][emoji23][emoji23] unavyonifundisha utakua unaniita tula? hell no!
Unauza shingapi kwa kopi moja mzee?
Ngoja nijisajili niwagonge nyie mapimbi wa dude.
Unajua au unafanya maigizo we tutusaNgoja nijisajili niwagonge nyie mapimbi wa dude.
Unajua au unafanya maigizo we tutusa
Nna hasira we kinaboWe boya nina kazi na wewe baadae
Download dalmax checker, hafu unachukua sheria za Tanzania, Tanzanian rulesNaomba mwenye anajua jina la draft play store ambalo king inaweza kujump shimo zaidi ya moja kwenda kula kete.. sijui jina lake ila kwa anaejua tafadhali naomba
Naomba mwenye anajua jina la draft play store ambalo king inaweza kujump shimo zaidi ya moja kwenda kula kete.. sijui jina lake ila kwa anaejua tafadhali naomba