Mbinu "copies" za mchezo wa drafti la Tanzania

Huu uzi una mwananchi mmoja ana njaa mpaka kwenye nywele m.mae
 
Me sichezi kamali kama wengine mzee, wengine awafundishi ila wanachezea ela anakufunga tu, na kuchukua ela zako nyingi, ila akupi Mbinu, na wewe pia karibu Nikuuzie copy, draft burudani, watu tunasahau mpaka wake zetu na bia , tukiwa tunapiga bao raha mustarehe, usione aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], njoo upate ujuzi, utanishukuru sana. Nafanya kwa upendo sio njaa.
naweza kupa hata online lecture usijali kijana,
Karibu sana[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] Asante. Usiwe mgeni wa mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂 unavyonifundisha utakua unaniita tula? hell no!

Unauza shingapi kwa kopi moja mzee?
 
Nahitaji wateja wa kuwauzia copy hasa matula , ambao hamjui kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepambana kivyangu kwenye Amerika Checker mpaka Grand Master level. Ila hiyo Grand Master ilinitesa sana ...nadhani nilicheza michezo kama mia 400 ndipo nilipogundua mbinu ya kumshinda. Kwa sasa napambana na Russian Draught, nimekwama kwenye master level....! Na hii ni kali zaidi.
 
Hapo ndo hamna kitu palaini sana
 
Naomba mwenye anajua jina la draft play store ambalo king inaweza kujump shimo zaidi ya moja kwenda kula kete.. sijui jina lake ila kwa anaejua tafadhali naomba
 
Checkers elite lina graphic nzuri sana. Alafu linaconnect online kwa urahisi. Chagua Russian rule ndio zinafanana na bongo
 
Back
Top Bottom