Professor of jungle
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 422
- 802
Hapa hatuongelei mpambano, suala la pambano unaweza wawekea mabingwa waumane.kwani mkulima, alivyokuwa anapambana na noel , Ronald, ramso, na wengine zile oj si Kuna watu walizamini ule mpambano, au ulizania walicheza Bora, mpambano wa mkulima na Ronaldo iliwekwa 20000, watu tushuhudie mpambano,
Tatizo ww unaleta njaa uuze copy zako uchwara kwa wana.