Mbinu gani ulitumia kuishi na kabila la wanguu? Moto wao sio mchezo!

Kuogopa binadamu mwenzako kisa ni mchawi ni uzwazwa tu, muogope Mungu, siwezi shindwa kufanya nikipendacho au maendeleo kisa naogopa mchawi, huo uchawi mbona wanashindwa kuroga tufuzu world cup? wachezaji wapewe dawa akiingia uwanjani anafanya maajabu.

Lakini na uchawi huo wote ambao huwa nausikia kwenye story mzungu katuacha mbali sana kwenye kila nyanja, hizi ni imani tu.
 
karibu ileje mkuu
 
Wanguu sio poa nakumbuka hawa watu walihamia pale gairo enzi hizo ikabidi wakagulu wote wasepe kuwaachia mtaa maana hao walikuwa ni shida wakikuona unakula ugali dagaa kosa, ugali samaki kosa, umenunua nguo mpya kosa mtoto wako anafanya vizur darasani kosa, ukifanya hvi kosa hata akikusikia umeenda chooni na ukajamba kwa nguvu kosa maana anajua unakula unashiba.
Kwa vitimbwi vyao hvo ndio maana mpaka leo gairo kuna mtaa wanaita UNGUU ROAD. maana walibaki wenyew wazawa wakakimbia
 
Mbona wana wivu wa hovyo kiasi hicho
 
[emoji16][emoji16][emoji1373]
 
Kuogopa binadamu mwenzako kisa ni mchawi ni uzwazwa tu, muogope Mungu, siwezi shindwa kufanya nikipendacho au maendeleo kisa naogopa mchawi, huo uchawi mbona wanashindwa kuroga tufuzu world cup? wachezaji wapewe dawa akiingia uwanjani anafanya maajabu.

Lakini na uchawi huo wote ambao huwa nausikia kwenye story mzungu katuacha mbali sana kwenye kila nyanja, hizi ni imani tu.
Huyo Mungu mbona anashindwa kulinda watoto vitani au kwenye mafuriko na matetemeko.

Mbona mna misikiti na makanisa mengi kuliko nchi nyingi Ulaya, na bado hao wazungu unaodai wamekuacha mbali sana?

Usiwalishe watu hofu zako.
 
Ndio nawasikia leo,
Kuna kabila lipo mbeya, tofauti na wanyakyusa sijui ndio Waswaa mtanirekebisha kama sio nalo nimelisikia juzi, wansema kazi yao kubwa ni kulima, wanalima kama misukule, ni native sana.

Wanyantuzu nao nimewajua hivi karibuni, naambiwa ni jamii ya wasukuma..
Kuna wambugu nao..
Halafu kila wale unaambiwa ni wachawi.

Yaani hii nchi kuleta umoja na kuongea lugha moja ni jambo gumu sana, unakutana na kabila wanaongea kama wanatapika.
Hapo Manyara babati-hydom-hanang niliona watu wanaongea nikadhani anatema ulimi yaani kama anatafuna moto.
 
Ugona vihi,kudya,dimwenga,maidi,chite,wahitahi,ulonga mbwai,manyeweye etc
hao jamaa wapo maeneo ya kuanzia mvomero,tuliani kibati Hadi mziha, wakati mwingine wanajiita wazigua, Kuna wangulu pia huko kibogoji,pandambili,tembo mchafu Hadi Pemba. Nimeishi nao zaiid ya miezi 10
 
Back
Top Bottom