Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Mbeya hamna Waswaa! Au unawasema Wasafwa?! Na hao wasafwa sio native kiasi hicho unachosema wewe! Hao ndio wazawa wa mkoa wa Mbeya na wapo sehemu kibao tu za mkoa wa Mbeya! Uliza vizuri! Pia hamna Wambugu,kuna Wabungu hao origin yao ni hukoo Chunya kwenye dhahabuNdio nawasikia leo,
Kuna kabila lipo mbeya, tofauti na wanyakyusa sijui ndio Waswaa mtanirekebisha kama sio nalo nimelisikia juzi, wansema kazi yao kubwa ni kulima, wanalima kama misukule, ni native sana.
Wanyantuzu nao nimewajua hivi karibuni, naambiwa ni jamii ya wasukuma..
Kuna wambugu nao..
Halafu kila wale unaambiwa ni wachawi.
Yaani hii nchi kuleta umoja na kuongea lugha moja ni jambo gumu sana, unakutana na kabila wanaongea kama wanatapika.
Hapo Manyara niliona watu wanaongea nikadhani anatema ulimi.