Ndio nawasikia leo,
Kuna kabila lipo mbeya, tofauti na wanyakyusa sijui ndio Waswaa mtanirekebisha kama sio nalo nimelisikia juzi, wansema kazi yao kubwa ni kulima, wanalima kama misukule, ni native sana.
Wanyantuzu nao nimewajua hivi karibuni, naambiwa ni jamii ya wasukuma..
Kuna wambugu nao..
Halafu kila wale unaambiwa ni wachawi.
Yaani hii nchi kuleta umoja na kuongea lugha moja ni jambo gumu sana, unakutana na kabila wanaongea kama wanatapika.
Hapo Manyara babati-hydom-hanang niliona watu wanaongea nikadhani anatema ulimi yaani kama anatafuna moto.