Mbinu gani ulitumia kuishi na kabila la wanguu? Moto wao sio mchezo!

Mbeya hamna Waswaa! Au unawasema Wasafwa?! Na hao wasafwa sio native kiasi hicho unachosema wewe! Hao ndio wazawa wa mkoa wa Mbeya na wapo sehemu kibao tu za mkoa wa Mbeya! Uliza vizuri! Pia hamna Wambugu,kuna Wabungu hao origin yao ni hukoo Chunya kwenye dhahabu
 
Hio ya mbeya asante kwa kunirekebisha..
Hao wambugu wapo, ni tofauti na wabungu na ni tanga huko, ni jamii ya wairaki na wamburu.
 

Wambugu wako.
Nafikiri ni mchanganyiko wa Wapare na Wasambaa. Wapo Lushoto
 
bado hujaitembelea tanzania ndugu yangu!
 
mwanangu wewe kweli unawafahamu hawa jamaa case closed. hata huku niliko kila mtu anawakimbia

wapo tanga,gairo,manyara
 
hata akikusikia umeenda chooni na ukajamba kwa nguvu kosa maana anajua unakula unashiba.[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uliwazaje kuishi nao mkuu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…