Mbinu gani ulitumia kuishi na kabila la wanguu? Moto wao sio mchezo!

Dah umenikumbusha Mziha...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gairo imesaidia sana kuwepo kwa uhamiaji wa wafanyabiashara toka makabila mbalimbali ndiyo WAMEIKUZA GAIRO na kubadilisha kabisa na kufanya eneo la UNGU ROAD kuwa la KIBIASHARA.

Imebaki ni historia na chokochoko za hapa na pale zilizoko kila eneo ambalo kuna wenyeji wachache mf MBAGALA hivi sasa WAHA toka Kigoma walivyowanyoosha WANDENGEREKO na viuchawi vyao vya CHUMA ULETE hivi sasa MBAGALA ni biashara kwenda mbele.

Vimebaki vichuma ulete vya hapa na pale, hivyo muingiliano wa makabila ni jambo jema sana.
 
Wanyantuzu siyo kabila ni wasukuma wanaotokea ntuzu
Si unajua huku usukumani wanatambulishana kikanda utasikia bhana keya bhana dakama bhana ng'weli bhana sukuma bhana suguma bhana shashi
 
Wanguu Ni wazigua.
Mfano hayo maneno yote hapo juu kuanzia ugona vihi?
Umeamkaje? Kudya kula, dimwenga, limoja, chite twende Ni kizigula piwa.
 
Kuna kipindi niliwahi kwenda Handeni ndani ndani kidogo niliambiwa kuhusu Hilo kabila. Hao hata mambo ya elimu hawataki kabisa. Hawataki wageni na ni kama wamejitenga. Hilo eneo nililofikia ndo Lina mahitaji yote so hata Wangu huja na kujumua bidhaa. Ila hawana masihara hata kidogo. Ni kweli haifai kuwaogopa lakini ni Bora nusu Shari kuliko Shari kamili mkuu. Biblia inasema uwe mwenye kujihadhari kama nyoka na usiwe na hatia kama njiwa. Lisemwali lipo ila usipozingatia Kuna wakat hata Mungu mwenyewe kwenye hayo mazingira hawezi kukusaidia
 
Wew MTU umekulia mbezi beach uchawi utausikia wapi! Njoo bariadi huku ujifunze maisha tofauti na hayo , mwenyewe utakili kwa kinywa chako kuwa uchawi upo na utaanza kuuogopa kuanzia hapo na hizo Rambo zako zitakoma kuanzia hapo.
 
Ukiwajulia Wanguu ni watu poa sana! Wasichopenda ni dharau na majivuno

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa. Pia hawapendi dhuluma na wizi. Ukimuibia Mnguu kazi unayo. Wanaogopeka vibaya mno! Sema wengi Kule hawapendi elimu. Wao ni elimu ya Quran tu. Ndio sababu baadhi ya wadau wanasema Wana wivu sana na hawapendi maendeleo. Chanzo nadhani kwa hao baadhi ni elimu tu
 
Ni kuwaua tu ndio dawa yao
 
Ningekuwa namiliki mtaa wangu ningeomba hao mniletee mimi huku
 
Wanguu wamejazana pale Gairo, ila wengi wanatokea mji wa Songe wilaya ya kilindi.

Wanguu ni wabishi, wanguu wana umwinyi sana, wanguu hawakubali mabadiliko.

Gairo wakapewa mtaa wa unguu road, hapo wamejazana sana.

Namna nzuri ya kuishi na wanguu inabidi tuwaulize Waha. Waha wakifika kwa hao wanguu, wanguu wanachutama.
 
yani mm niliendaga kujitafuta kanda fulani haloo kila mtu anawaogopa! sasa sijui kama wao wanataarifa hizi?

yani kila mtu alisema hapo usijaribu,na nikwelii hata wiki nikaamua kusepa nikaenda kuishi mbali na eneo lao
 
hahaaa ,kwahiyo mkuu muha ndio anambinu zote za kuishi nao?
 
Wew MTU umekulia mbezi beach uchawi utausikia wapi! Njoo bariadi huku ujifunze maisha tofauti na hayo , mwenyewe utakili kwa kinywa chako kuwa uchawi upo na utaanza kuuogopa kuanzia hapo na hizo Rambo zako zitakoma kuanzia hapo.
huyo si ana route za africana,mbudiya,posta na mbweni atajuaje life la mkoani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…