Mbinu gani ulitumia kuishi na kabila la wanguu? Moto wao sio mchezo!

Unguu road kuna kulikuwako na gulio hapo miaka ya 2006-8 nimechakalika sana hapo.
Lisemwalo kwenye mada hapo ninaweza kulikubali.
 
😇😇🤣🤣🤣
 
Msafwa ni mwenyeji wa mbeya na lugha yao ndiyo asiri ya jina mbeya

Nikweli Hawa viumbe wanalima baraa Nina Imani alikuwa anawa zungumzia hao mkuu
 
Wew MTU umekulia mbezi beach uchawi utausikia wapi! Njoo bariadi huku ujifunze maisha tofauti na hayo , mwenyewe utakili kwa kinywa chako kuwa uchawi upo na utaanza kuuogopa kuanzia hapo na hizo Rambo zako zitakoma kuanzia hapo.
Mlishindwa kuroga wakoloni wafe, makatawaliwa na viboko juu, huo uchawi uko wapi? uliwasaidia nini? uchawi ni mambo ya ulimwengu wa roho, mambo ya kiroho yanahitaji imani , ndio maana wazungu hamuwezi waroga walishatoka huko kwenye huo upumbavu na hawaamini, mi siwezi rogwa leta mchawi yeyote.
 
Muha nae ni moto hatari ogopa makabila yote kanda ya ziwa yanawaogopa...wazee wa burundi hao
 
Hii nchi kubwa aiseeh, sikuwahi elewa kama kuna jamii zinazoogopwa na watu wengine namna hii!

Yani kila mtu anakwambia hapa wamejaa wanguu huwezi ishi hapa kimbia haraka!
Wanguu ni kabila la mkoa gani hapa Tanzania maana ndiyo kwanza nawasikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…