Mbinu nayotumia kumlea mwanangu anayesoma private awe mjanja, awe na furaha, asigeuke kuwa kuku wa kisasa

Kuwa mcheshi kunategemeana sana na idadi ya watu waliopo kwenye circle yako

Una ushahidi wowote wa kisayansi au ni maoni/hisia zako?


Sijui aina ya maisha na jamii inayokuzunguka. Lakini michezo hiyo ni vitu vya kawaida miongoni mwa jamii fulani, sidhani kama hiyo michezo imesababisha madhara kwa kiwango hicho unachotaka kuonyesha. Neno kubwa mno ni linganifu, ni kwa kiasi gani limesababisha shida ulaya?

Siwezi kulea mtoto kizungu yaani kitoto kipo 15 kinaniletea eti boyfriend wake no, no, no. Situmii sana mdomo kwenye matatizo serious huwa natia mboko.

Nachelea kusema hata malezi ya kizungu unayosema, sidhani kama unaweza kusema ni malezi ya namna gani. Hata viboko ni sehemu ya kumpa furaha mtoto?
 
Mkuu naona kila mtu achukue uamuzi wake, we kalee mtoto wako kizungu, huko hata mtoto akiwa shoga wazazi kama wewe mnachukulia kawaida.

Umekamatwa kichwa kweli kweli na wazungu, nimeona waafrika wengi wakijisifu kulea kizungu wakati wazungu hawana muda kabisa wa kusifia malezi ya kiafrika.
 
Kumfuga mtoto kama kuku wa amadori kuna madhara Sana akikutana na wababe siku moja wakimuonyesha mjusi tu mtoto anaogopa wanaweza kumfanyia vitu vingi wakamla hadi0712

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu naona kila mtu achukue uamuzi wake, we kalee mtoto wako kizungu, huko hata mtoto akiwa shoga wazazi kama wewe mnachukulia kawaida.

Hujajibu, malezi ya kizungu ni yapi? Mashoga wako uzunguni tu? Unakumbuka mahojiano ya mtangazaji wa Clouds TV Zamaradi na yule shoga, je alikuwa ni matokeo ya malezi ya kizungu? Tatizo ni uzungu, malezi ya kizungu au vyote?
Unaamini kabisa viboko na kusoma shule ya watoto wengi ndiyo itamzuia mwanao asiwe shoga?

Umekamatwa kichwa kweli kweli na wazungu, nimeona waafrika wengi wakijisifu kulea kizungu wakati wazungu hawana muda kabisa wa kusifia malezi ya kiafrika.

Duh! Wapi hapo ambapo unahitimisha kuwa nimekamatwa kichwa na wazungu? Bado sijaona hoja za msingi sana kusimamia uzi wako. Ni hisia ambazo huwezi kuthibitisha wewe mwenyewe wala kupitia maandiko au tafiti.
 
Mkuu mbona umepanic, mi naona tutaanzisha uzi maaulum siku nyingine tuendeleze hii session yetu.

For the mean time we endelea kulea watoto kizungu, wenzetu hata watoto wao wakianza kuf*rwa na wanaume wenzako wazazi wana accept, kwa vile wewe unalea kizungu najua utakuwa huna tatizo na hili, hali hii ikimkuta mwanzo usisite kunistua nimsaidie kutafuta wenye mpini wa haja
 

Ninasikitika umeanzisha uzi lakini umeshindwa hata kutoa tafsiri yako ya malezi ya kizungu, nawezaje kukasirika wakati hata wewe mwenyewe unaonekana unaongelea hisia zilizotengenezwa na mazingira na/au masaibu yako. Na ninathibitisha hii na majibu yako hapo juu. Kama unawafahamu hata wanaofanya hivyo, inawezekana kabisa wakawa ndiyo hatari kwa mtoto/watoto wako.

Kukushauri, fanya bidii kuongeza kipato umpeleke mtoto wako shule bora. Hutajuta.
 
Huyu mleta uzi hajui hata anaongelea kitu gani. Nimejaribu kutafuta hoja yake na na aina ya malezi anayoyataka sioni point ndani yake.
Nimemuuliza swali kapiga chenga, nilitaka aniambie mtoto wa kike atamlea kwa mazingira yapi hakuwa na jibu.

Mwishoni nimegundua kwamba huyu kijana ndio kwanza kapata katoto kamoja ka kiume hivyo akili yake inamwambia kwamba watoto wote ni wakiume. Kiufupi hajawa na watoto mchanganyiko, bado ametawaliwa na ulimbukeni ambao hauwezi kuisha leo.

Pia nimegundua mleta uzi anakosa exposure. Maisha ya kijijini yamemuathiri sana kiasi anahamishia hasira za maisha yake ya dhiki kwa mtoto.

Karne hii ya leo bado mzazi unafundisha mtoto kuwinda ndege.? Kuogelea kwenye madimbwi ya vinyesi?

Unajivunia mtoto kwenda shule kwa mguu?

Mchawi wa maisha ni pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Sema mtoto wako umemsomesha kwa urefu wa hela yako,then nyamaza!

Sio unakandia wenye uwezo wa kutoa milioni 30!

Huna,peleka huko machochoroni,then funga domo!

Mengine unayoongea ni makelele matupu!


“Maisha ni Safari Ila Sio Wote Wana Nauli”
 
Kumfuga mtoto kama kuku wa amadori kuna madhara Sana akikutana na wababe siku moja wakimuonyesha mjusi tu mtoto anaogopa wanaweza kumfanyia vitu vingi wakamla hadi0712

Sent using Jamii Forums mobile app

Definition ya kumfungia mtoto ni ipi?

Tupe kiasi in numbers kumfungia ni kiasi gani na kumuachia ni kiasi gani

Maana naona tunaongea generally tu,principally kwa macho yenu ni kwamba anaefungiwa ni tajiri na anaeqchiwa ni masikini

Deep down hapa hata sio kweli mnamaanisha hizi definitions,ni vita yenu ya kiuchumi na upper class!

Which is stupidity beyond everybody!

Sisi waswahili tuna vituko sana,jirani yako ana geti kubwa na nyumba kubwa zaidi yako utaanza kejeli “anafungia watoto” huku takwimu huna hata moja!

This is nonsense!
 
Dah pole mkuu, ila fanya juu chini mtoto wako asipitie taabu zilizokufanyia hivi vitu.
 
Asante mkuu, watoto kuwafungia na kuwafuga kama kuku ni bomu unalowategea watoto wako hasa wa kiume

Tupe proper definition ya kumfungia mtoto!

Mtoto anakua amekaa ndani kwa kiasi gani ku-qualify kua kafungiwa?

Weka numbers hapa!
 
Kuna vitu vingine kama hujui vua chupi kaa pembeni mkuu maana vinakera sasa mtu kujifanya huvijui, Hivi hujui maana ya geti kali au ni kujifanya tu mdadisi wa tbs unaetaka viwango vyenye namba.

Hii maada sidhani kama imegusia uchumi maana ni general kabisa, watu kibao tu wa middle na upper class huku mijini sana sana wamaosomesha watoto wao private nimeshudia wakiwafungia ndani watoto wao na hii population ya watoto wanaosoma private ni ndogo sana kama asilimia 10 tu hio 90 nyingine wengi wanasoma shule za serikali na hawa wengi wapo huru sana au kwa kiasi fulani.

Your assumptions are null
 
Naona maada imeingiliwa na wanaofuga kuku wa kisasa wanatumia nguvu kubwa mno kubatilisha malezi ya kiafrika waliyolelewa hata mababu zetu wao maefocuss na haya malezi ya kizungu ambayo wazazi wanamuunga mtoto asilimia 100 hata akiwa shiga, Tuepukane na malezi ya wazungu wakuu.
 
Mwalimu wake ni physical au mtandaoni?
 
Hahaha kuna mdogo wangu yuko DIT yeye asubuhi tukiamka yeye ndo analala tukienda kulala usiku yeye ndo anaamka kufanya yake
 

Huna akili

Baada ya kujibu maswali uliyoulizwa unaanza kutukana

Sasa unataka mashindano ya matusi?

Dont even go there!

Wewe ulikua huna extra curricular plan for your kids,umekurupuka na stupid extra curricular plan then unaona umegundua gravity!

Ulichofanya kwa mwanao sio eureka,na infact ni one of the poor plans,japo ni poor kwa standards,kikwako ni yako,nobody cares!

So far hujui maana ya kufungia watoto magetini,hujui,maana huwezi kutoa definition,kwahiyo hatujui wewe unazungumzia viwango vipi na how,hivyo hatujui exactly gauge uliyopo!

Kutukana au kuona watoto wa wenzio ni kuku,ni kukoswa akili tu na ulimbukeni,keep your ass in check!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…