Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama atakuwa ni kichwa sana. Ila hakupata fursa ya kwenda shule kujifunza hizo hesabu, ama hakupata mwalimu mzuri.Uwezo wa akili unatoka kwa mama, fafanua. Kuna jamaa ambae ni mkali wa namba ila mama hata kuhesabu ni shida, akazaa mtoto nae mkali wa namba. Hapo akili ya mama imechangia nini?
Wanaume wengi wanalea watoto sio wao! Ndo maana mimi kuna mmoja nilizaa nae mtoto wa kwanza ni pacha kabisa na mimi ila huyu wa Pili kafanya kubambikia alafu namwabia kabisa huyu wa pili sio mtoto wangu kabisa basi angekua hata amechukua vina saba vya mtoto wa kwanza napo hakuna..haya turudi ujombani na ushangazini hakuna aliyefanana nae.Badala ya kulea kwa miaka 12 ndipo uanze kumfukuza mke na watoto kama Jeremy Njitap, ni vema ukajua mapema.
Hizo ndo vipimo sasa ndo maana halisi ya vinasaba! Watoto wengine mpaka tembea!Mtoto wangu kafanana na mimi maskio, viganja na hata kimo 😂 naona kabisa sijapigwa.
wanakupofushaHizo ndo vipimo sasa ndo maana halisi ya vinasaba! Watoto wengine mpaka tembea!
Sasa unaletewa kajamaa hufanani nako ubibini hakamo, ubabuni hakamo, ushangazini/ujombani hakamo hufafani nae hata kidogo hapo lazima taa nyekundu ziwake.
Ila sasa wale wanawake janja janja wanakuwahi kwenye ushirikina ili usijue chochote.🤣
Mama yenu alikuwa mchepukaji pro maxTumezaliwa tisa na hatufanani viganja vya mikono baba anawezaje kufanana na sisi sote
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
si bora yupo ndan ya ukoo kuliko analeta watu toka njeHujajibu swali langu
Je akiwa mtoto wa ndugu yako?
kipindi cha nyuma uchagani ni kawaida sana watu kula mashemeji zao. Hata baba mkwe ilikuwa rahisi kumla mke wa mwanae kutokana na kuwa watu wengi walikuwa wanaacha wake zao nyumbani
Kiasili sio njia sahihi ya kujua huyu ni mtoto wako wa damu
Halafu wala haiumi. Kuliko mchina akatia mbegu unyakyusani, inauma kinoma.si bora yupo ndan ya ukoo kuliko analeta watu toka nje
Nmeona tafiti mpya zinasema hiyo dhana ya mwanzo kwamba akili inatoka kwa mama si kweli.Uwezo wa akili unatoka kwa mama, fafanua. Kuna jamaa ambae ni mkali wa namba ila mama hata kuhesabu ni shida, akazaa mtoto nae mkali wa namba. Hapo akili ya mama imechangia nini?
😂😂😂 Hata mm ningetimua mbio
Tuwekee hapa tuisome mkuu. Lkn Zingatia na chombo ama taasisi ama mtu aliyefanya tafiti.Nmeona tafiti mpya zinasema hiyo dhana ya mwanzo kwamba akili inatoka kwa mama si kweli.
Hapo kwenye msahihishaji kukimbia!!!!hahaha.Alipata taharuki au?
Mtoto akifanana na baba mdogo anaweza kuwa wa baba mdogo. Je ni wa kwako?Sasa mtoto akifanana na hata baba dogo SI Bado ni damu ya ukoo ww unachobisha ni Nini hapo?
Hizi tabu zote zinatokana na jamii inayohendekeza Uzinzi na kukosa akili badala ya kazi.Mbinu ninayoijua sema ni ya kiasili ,ni hivi mtoto anapozaliwa unatakiwa kuwatuma watu hawa mama yako ,bibi yako ,shangazi yako, dada mkubwa kweny familia yenu ,waende kumuona mtoto ile siku ya kwanza kabla yako wewe (baba) .
Hao wanajua kabisa hii ni damu ya ndugu yao ila kabla hata wewe kumuona mtoto ,hii mbinu wanyakyusa wanatumia sana sio rahisi kupigwa labda hawa wanaoishi mjini.
Sasa ndiyo hivyo tumejikuta accidentally tuko kwenye hii jamii ya hovyo. Hakuna jinsi. Tunapaswa kutafuta namna ya kuishi.Hizi tabu zote zinatokana na jamii inayohendekeza Uzinzi na kukosa akili badala ya kazi.
Kiasi kwamba Mtoto akizaliwa hawaamini kama ni wao.
Kweli aiseeSasa ndiyo hivyo tumejikuta accidentally tuko kwenye hii jamii ya hovyo. Hakuna jinsi. Tunapaswa kutafuta namna ya kuishi.