Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

Haha sasa wewe unazungumza vitu huku unakataa

Umesema kuwa utafanana na baba yako na utafanana na watoto wako

Je ndugu zako hawatafanana na baba yako wala watoto wake

Je baba zako wadogo na wakubwa hawatafanan na baba yako ?
Kuna viungo kama vipo special ,DNA kwa africa ni utapeli hazna ukweli kwa sababu ya kampeni ya kulinda watoto wa mitaani.

Kiasili binadamu wanao uwezo wa kujua mtoto hata kama wazazi wake ni mapacha ,achana na elimu ya darasani .

Kaulize wazee wanajua kabisa mtu huyo wa fulani tangu akiwa infant.
 
Kuchepuka na ndugu kupora lkn siyo kwa wingi. Ukiitumia mbinu hii kaa mbali na ndugu zako. Utakuwa hulei mtoto wa mtu mwingine
 
Mtoto wangu kafanana na mimi maskio, viganja na hata kimo 😂 naona kabisa sijapigwa.
 
Kuna viungo kama vipo special ,DNA kwa africa ni utapeli hazna ukweli kwa sababu ya kampeni ya kulinda watoto wa mitaani.

Kiasili binadamu wanao uwezo wa kujua mtoto hata kama wazazi wake ni mapacha ,achana na elimu ya darasani .

Kaulize wazee wanajua kabisa mtu huyo wa fulani tangu akiwa infant.
Unazungumza tu huna hoja

Njia sahihi ya kujua kuwa mtoto ni wako ni njia ya kisayansi tu DNA

Hizo njia za kuangalia kwa macho kwa hao ndugu zako mbao hata shule wengine hawana ni utapeli mtupu

Kukaririr Africa kuwa DNA ni utapeli, bila ushahidi ni story za vijiweni
 
Hizi nyingine pia 😅😅labda kama hujui wanatest vip.

Uliza sio ubishi hatujakataa ,tunataka njia ya asili hizo ni siasa kama CCM haswa bongo.
 
Haha sasa wewe unazungumza vitu huku unakataa

Umesema kuwa utafanana na baba yako na utafanana na watoto wako

Je ndugu zako hawatafanana na baba yako wala watoto wake

Je baba zako wadogo na wakubwa hawatafanan na baba yako ?
Sasa mtoto akifanana na hata baba dogo SI Bado ni damu ya ukoo ww unachobisha ni Nini hapo?
 
Badala ya kulea kwa miaka 12 ndipo uanze kumfukuza mke na watoto kama Jeremy Njitap, ni vema ukajua mapema.
Kwa nini unataka kuingiza watu mkenge. Kama una wasiwasi mtoto siyo wako kuna njia moja nzuri sana: DNA. By the way mimi kwa kumwangalia mtoto tu mtoto naweza kuwa na uhakika ni wangu au siyo wangu. Na hii ni kwa wanaume wengi. Mtoto lazima atakuwa na vitu ambavyo atachukuwa kutoka kwa baba yake hata kama ni kidogo namna gani.
 
Mtoto lazima atakuwa na vitu ambavyo atachukuwa kutoka kwa baba yake hata kama ni kidogo namna gani.
Moja ya vitu vya lazima ambavyo mtoto huchukua toka kwa babake ni michoro ya viganjani. Trust me bro!
 
Uwezo wa akili unatoka kwa mama, fafanua. Kuna jamaa ambae ni mkali wa namba ila mama hata kuhesabu ni shida, akazaa mtoto nae mkali wa namba. Hapo akili ya mama imechangia nini?
 
Back
Top Bottom