Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,115
- 2,464
Sikupingi lakini unaona ulichosema hapo, kwamba katembea na ndugu yangu lakini mwisho wa siku mtoto wa kwako ukimuona tu utamjuaUongo mkubwa, unaweza ukawa unafanana na mtoto kwa muonekano wa nje na bado akawa siyo mtoto wako (not his or her biological father). Yawezekana mwenza wako amebebeshwa ujauzito na ndugu yako wa damu wa karibu kama vile mdogo wako au kaka yako, kisayansi mtoto aliyezaliwa bado upo uwezekano mkubwa sana wa kufanana na wewe kwa sifa za muonekano wa nje na hata kwa baadhi ya sifa za za ndani yaani kwa kiasi Fulani kutakuwa na mfanano wa baadhi ya sifa ktk mpangilio wa DNA kati ya yako na huyo mtoto ingawaje mtoto siyo wako.
Katika kupima DNA, kuna vipengele 15 ambavyo ni LAZIMA vyote vioane kwa baba na mtoto ili kuthibitisha uhalali wa ubaba wa mtoto husika.
Just a point of information,DNA test inahaminika katika kubaini mtoto wa nani lakini mara nyingi results zake zinakuwa modified kwa sababu za kiusalama kati ya wazazi wa mtoto na mtoto pia.Kikubwa kama unaweza kulea mtoto fanya hivyo tu labda kama utapata changamoto ambazo zitakulazimu kufanya tofauti