Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

Alaf hata kama sio wako lakini mkeo kakuambia ni wako unapungukiwa nn kumlea kama wako tu. Ukiona mwanaume anapata shida kulea basi huyo angetakiwa awezeshwe kubeba mimba azae ili alalamike kama mwanamke......... Zamani wazee wetu walilea mpka watoto wasio wajua kwakua walikua na moyo na utu
Wee hii sio justification ya kulea bao la mtu aisee, kila mtu aleee bao lake, unaleta habari za karne huko hata DNA ilikuwa haijulikani
 
Wee hii sio justification ya kulea bao la mtu aisee, kila mtu aleee bao lake, unaleta habari za karne huko hata DNA ilikuwa haijulikani
Tena nyie wa hivi ndio mnapigwaga za kichwa ukija mtandaoni unajidai una msimamo ila ukute ushashikishwa😂😂
 
Lemme give you a simple Chellenge..

Anayekuchapia Ana Group B...
Mtoto AnaGroup AB..
Mama ana Group AB
Na Wewe una Group O..

Give me chances?
Kuwa mtoto wako au sio wako?

Au Simple..
Wewe una Group A...
Mama Anagroup B..
MTOTO Anagroup AB...

Lets say mtoto sio wakp niambie Baba ana group gani?..

Hakuna Primitive ways ya KuAnalyse Breeding kama kutumia Blood Group...
Mkuu unajua kitu kinaitwa alleles? Tuanzie hapo kwanza??
 
Wakuu kwema watu wengi hawajui hili kwamba mtoto akizaliwa lazima achukue group la damu kutoka kwa wazazi wake anaweza kuchukua group la mama au group la baba au aka mix kutoka kwa mama na baba pamoja.

Wale wenye wasi wasi kwamba wanalea mtoto lakin anahisi sio wake karibu PM ili niweze kuwafanyia calculation tuone group ambalo analo mtoto ni limetoka kwa nani!

Calculation hizi zinahutaji ujue group la baba, mama na la mtoto ambae unahisi sio wako

NB: hii njia sio confirmation test bali ni njia ambayo itakupa nguvu na morali ili ujitose sasa ukafanye DNA test kwa uhakika wa 95-100%
Njia ya kienyeji ya kujua mtoto sio wako siki akizaliwa kwa mara ya kwanza akianza kujua kufungua macho na kumwangalia mtu. Kama baba yake jaribu kumpea eyes contact huyo unaezani ni mwanao. Ukiona gafla umepata kauchachu /uchungu moyoni kama mtu alie kula ndimu au embe bichi basi nenda kapime DNA.
 
Alaf hata kama sio wako lakini mkeo kakuambia ni wako unapungukiwa nn kumlea kama wako tu. Ukiona mwanaume anapata shida kulea basi huyo angetakiwa awezeshwe kubeba mimba azae ili alalamike kama mwanamke......... Zamani wazee wetu walilea mpka watoto wasio wajua kwakua walikua na moyo na utu
Acha upumbavu wewe
 
Mkuu unajua kitu kinaitwa alleles? Tuanzie hapo kwanza??
🤣🤣
Umemaliza Form six mkuu au form four 🤣🤣
Maana ndo maswali ya Form four na Form six leaver wa PCB..

Ok Najua Allele na Najua vingi kuihusu offcuz najua kuhusi Genetic Engeneering pia....

Unajua kuna aina ngali za magroup ya Damu? Na kwanini Iitwe Rh?
🤣🤣..
I think nakushauri Usome mkuu Utajua KwNini nasema Blood Grouping its Not a Better analysis
 
Bora kupima DNA tu.

Kama huyo ke ana O, kitu recessive, na wewe una AB[emoji23], unaona hesabu zake?

Haya kuna uwezekano aliyekuchapia ana group kama yako

Haya ni mahesabu ya kubahatisha tu, DNA uhakika 100%
DNA yenyewe kapima nje ya nchi hapa bongo kama mtoto sio wako utapewa majibu ya mchongo kwa kisingizio cha kulinda masilahi ya mtoto
 
Hakuna kitu hapo mtoto kama ni wako kuna ufanano utakuepo hukuna haja ya DNA au blood group test or analysis

Ukiona mtoto hakuna feature yoyote inayoendana na wewe jua kuna mwamba alikuchezea faulo.Story za kafanana sijui na bamdogo sijui kwa babu zake ni uongo
Uongo mkubwa, unaweza ukawa unafanana na mtoto kwa muonekano wa nje na bado akawa siyo mtoto wako (not his or her biological father). Yawezekana mwenza wako amebebeshwa ujauzito na ndugu yako wa damu wa karibu kama vile mdogo wako au kaka yako, kisayansi mtoto aliyezaliwa bado upo uwezekano mkubwa sana wa kufanana na wewe kwa sifa za muonekano wa nje na hata kwa baadhi ya sifa za za ndani yaani kwa kiasi Fulani kutakuwa na mfanano wa baadhi ya sifa ktk mpangilio wa DNA kati ya yako na huyo mtoto ingawaje mtoto siyo wako.
Katika kupima DNA, kuna vipengele 15 ambavyo ni LAZIMA vyote vioane kwa baba na mtoto ili kuthibitisha uhalali wa ubaba wa mtoto husika.
 
Wakuu kwema watu wengi hawajui hili kwamba mtoto akizaliwa lazima achukue group la damu kutoka kwa wazazi wake anaweza kuchukua group la mama au group la baba au aka mix kutoka kwa mama na baba pamoja.

Wale wenye wasi wasi kwamba wanalea mtoto lakin anahisi sio wake karibu PM ili niweze kuwafanyia calculation tuone group ambalo analo mtoto ni limetoka kwa nani!

Calculation hizi zinahutaji ujue group la baba, mama na la mtoto ambae unahisi sio wako

NB: hii njia sio confirmation test bali ni njia ambayo itakupa nguvu na morali ili ujitose sasa ukafanye DNA test kwa uhakika wa 95-100%
• Mtoto wetu ana group O Rh +
• Mke Wangu ana group O Rh +
• Mimi nina Group O Rh +

Naomba unisaidie mkuu, ili nijue kama ni mtoto wangu au siye 😟.
 
[emoji1787][emoji1787]
Umemaliza Form six mkuu au form four [emoji1787][emoji1787]
Maana ndo maswali ya Form four na Form six leaver wa PCB..

Ok Najua Allele na Najua vingi kuihusu offcuz najua kuhusi Genetic Engeneering pia....

Unajua kuna aina ngali za magroup ya Damu? Na kwanini Iitwe Rh?
[emoji1787][emoji1787]..
I think nakushauri Usome mkuu Utajua KwNini nasema Blood Grouping its Not a Better analysis
Hongera sana mkuu mimi ndo nimemaliza form 4
 
Mm blood group yangu ni B+ nielekeze mama na baba possibly wanaweza kua blood group gn?
 
Sasa kulikuwa na shida gani kuwafundisha hapahapa [emoji23]aiseee
 
Back
Top Bottom