American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
DNA za bongo uzushi mtupu, wanaangalia mzazi mwenye uwezo wanambambikia mzigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujifariji ndugu umesha ibiwa, nenda tu DNA test ukapate uhakika. Kilichokuwa kinakulaza laza ni minyoo, Malaria na U.T.I wala sio muunganiko wa mtoto [emoji23][emoji23]Ndugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako.
Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni.
Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi.
Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia kama damu zinaendana kati ya baba na mtoto.
Nyama hapa kwenye nyama ni pale vitu kama ngozi kufanana na wewe kama vile ndita mashavu nk.
Mifupa hapa mtoto anakua na umbo structure kama yako , kama vile matege nk.
Ila kubwa kuliko ni nafsi hapa wanaume wengi tunazembea ila kupitia nafsi uhakika wa mtoto kuwa wako au sio wako ni mkubwa sana. Kama mtoto ni wako hapa kuanzia mtoto anavyo kuwa tumboni unakua na muunganiko nae. Yaani mtoto akifika umri wa kucheza tumboni unakua na uwezo wa kuongea nae na akarespond vizuri tu.
Na kingine ni kubeba baadhi ya vitu kama mjamzito vile yaani unaweza ukawa unalala lala kama mamamjamzito...kikifika kipindi cha karibu na kujifungua pale ambapo mama mjamzito mbavu humuuma na mgogo basi hii unaweza pelekea hadi wewe baba kuumwa mbavu na mgongo.
Hapa kwenye nafsi ndio pana kila kitu ukiwa karibu na mama mjamzito utagundua mengi sana kama mtoto wako au sio wako na kipimo cha nafsi hakipo kwa mkemia mkuu hiki ni chako wewe kama wewe.
Sasa ndugu yangu kama unaishi na mkeo tangu abebe mimba hadi anajifungua hujawahi pata chochote kile basi we jua tu unalea damu za wenzio , mimba ikiwa yako kweli kuna vitu vingi utajihusisha navyo....mtoto akiwa tumboni utacheza nae na atacheza kweli. Zile ups and down za mimba utazipitia kama vile kulala lala, mbava kuuma ......nafsi yako kupenda kuwa karibu na hiyo mimba.......if non of above we jua tu umepigwa na likitu lizito nenda kwa mkemia akakukadirie kama akubebeshe au akuachie
Noma zaidi ni hii,Hii noma mkuu
Sema watu wabishi tu mkuuNoma zaidi ni hii,
Wazee wa zamani wenye wake wengi wakitaka kuthibitisha anamchukua dogo angali utosi unapumua, usiku wa mbalamwezi imechoza anatoka nae nje, anamgusisha kichwa cha mboo utosini, kama mtoto sio wake anakata moto papo hapo.
Niliisikia wazee watu wazima wakiizungumzia pahala.
Duniani kuna mambo.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huruma sana! Wale vijana wa hovyo ndio wanakuaga wanaume wa hovyo ndio wanakuja kua wazee wa hovyoEti wanasubiri DNA iwaambie [emoji23][emoji23][emoji23]
Umeongea ukweli mtupu! Wajinga wengi kwasababu wamepigwa hawataki kusikia hii mamboNdugu wajumbe ni hivi kuna hatua za awali as kutaka kujua kama mtoto ni wako au sio wako.
Na hatua hizi huanzia tangu mtoto yupo tumboni.
Kabla ya yote unatakiwa kujua kuwa mimba ni muunganiko wa Damu,nyama,mifupa na nafsi.
Kwenye damu hapa watu ndio hutumia hadi vipimo kutaka kuangalia kama damu zinaendana kati ya baba na mtoto.
Nyama hapa kwenye nyama ni pale vitu kama ngozi kufanana na wewe kama vile ndita mashavu nk.
Mifupa hapa mtoto anakua na umbo structure kama yako , kama vile matege nk.
Ila kubwa kuliko ni nafsi hapa wanaume wengi tunazembea ila kupitia nafsi uhakika wa mtoto kuwa wako au sio wako ni mkubwa sana. Kama mtoto ni wako hapa kuanzia mtoto anavyo kuwa tumboni unakua na muunganiko nae. Yaani mtoto akifika umri wa kucheza tumboni unakua na uwezo wa kuongea nae na akarespond vizuri tu.
Na kingine ni kubeba baadhi ya vitu kama mjamzito vile yaani unaweza ukawa unalala lala kama mamamjamzito...kikifika kipindi cha karibu na kujifungua pale ambapo mama mjamzito mbavu humuuma na mgogo basi hii unaweza pelekea hadi wewe baba kuumwa mbavu na mgongo.
Hapa kwenye nafsi ndio pana kila kitu ukiwa karibu na mama mjamzito utagundua mengi sana kama mtoto wako au sio wako na kipimo cha nafsi hakipo kwa mkemia mkuu hiki ni chako wewe kama wewe.
Sasa ndugu yangu kama unaishi na mkeo tangu abebe mimba hadi anajifungua hujawahi pata chochote kile basi we jua tu unalea damu za wenzio , mimba ikiwa yako kweli kuna vitu vingi utajihusisha navyo....mtoto akiwa tumboni utacheza nae na atacheza kweli. Zile ups and down za mimba utazipitia kama vile kulala lala, mbava kuuma ......nafsi yako kupenda kuwa karibu na hiyo mimba.......if non of above we jua tu umepigwa na likitu lizito nenda kwa mkemia akakukadirie kama akubebeshe au akuachie
Walio pigwa watabishaJaribu kumsema mtoto wako chini ya miaka 2 au 3,
Mfano akifanya Jambo lolote baya mkaripie au mkataze kwa kile anachokifanya,
--Kama ni damu yako mtoto ataacha anachokifanya na kuanza kulia na baadae atatulia.
--Kama sio damu yako utashtukia umepigwa na fagio,kiatu,
Au chochote kilichopo karibu yake.
Hiyo ni DNA proved kabisa..
Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app