Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni uongo mkubwa sana huu.Wakuu kwema watu wengi hawajui hili kwamba mtoto akizaliwa lazima achukue group la damu kutoka kwa wazazi wake anaweza kuchukua group la mama au group la baba au aka mix kutoka kwa mama na baba pamoja.
Wale wenye wasi wasi kwamba wanalea mtoto lakin anahisi sio wake karibu PM ili niweze kuwafanyia calculation tuone group ambalo analo mtoto ni limetoka kwa nani!
Calculation hizi zinahutaji ujue group la baba, mama na la mtoto ambae unahisi sio wako
NB: hii njia sio confirmation test bali ni njia ambayo itakupa nguvu na morali ili ujitose sasa ukafanye DNA test kwa uhakika wa 95-100%
Eleza kwa fact kwann uongo acha siasaNi uongo mkubwa sana huu.
Njia pekee na ya uhakika ya kujua uhalali wa mzazi kwa mtoto ni kwa kupima DNA tu, siyo huu uongo wako uliiweka hapa. Acha kupotosha umma.
Niuongo mkubwa Sana kwasababu watu wanafanana magroup ya damu duniani. Kama una group A ujue Kuna watu wengine wengi Wana Hilo groupEleza kwa fact kwann uongo acha siasa
Unataka fact wakati umetema pumbaEleza kwa fact kwann uongo acha siasa
Kwaiyo mkuu wewe unagroup sawa na mchepuko wa mke wako?? Ndo maana nikasema hii sio accurate asilimia 100 ila itakupa mwanga kuwa unachokihisi ni kweli and you need to take further investigation DNA testNiuongo mkubwa Sana kwasababu watu wanafanana magroup ya damu duniani. Kama una group A ujue Kuna watu wengine wengi Wana Hilo group
Mimi na ww nani anae ongea pumba sasa?Unataka fact wakati umetema pumba
Primitive WaysWakuu kwema watu wengi hawajui hili kwamba mtoto akizaliwa lazima achukue group la damu kutoka kwa wazazi wake anaweza kuchukua group la mama au group la baba au aka mix kutoka kwa mama na baba pamoja.
Wale wenye wasi wasi kwamba wanalea mtoto lakin anahisi sio wake karibu PM ili niweze kuwafanyia calculation tuone group ambalo analo mtoto ni limetoka kwa nani!
Calculation hizi zinahutaji ujue group la baba, mama na la mtoto ambae unahisi sio wako
NB: hii njia sio confirmation test bali ni njia ambayo itakupa nguvu na morali ili ujitose sasa ukafanye DNA test kwa uhakika wa 95-100%
Umemaliza mjadala, thread closedNiuongo mkubwa Sana kwasababu watu wanafanana magroup ya damu duniani. Kama una group A ujue Kuna watu wengine wengi Wana Hilo group