African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Acha kulaza akili kijana ni uvivu unakusumbua. Mtoto wa kiume changamka pambana sio usubiri kupambaniwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza thread ifungwe😍😍😍🪓🪓🪓🪓🪓Ni vile tu huna ela!
🪓🪓🪓Acha kulaza akili kijana ni uvivu unakusumbua. Mtoto wa kiume changamka pambana sio usubiri kupambaniwa
🪓Pambana kijana,maisha yanaanza na mapambano yako wewe mwenyewe. Kikubwa wewe ni mvivu na hauna future.
Waambie 🤣🤣🤣👋🪓🪓🪓Hakuna K ya Bure Mzee Baba
Hujawahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu.Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili.
Kuchukua Mwanamke maskini ni sawa na kuamua kubeba msalaba wake kila hitaji lake atakuletea ww, vocha kusuka mirasta ya 30k. Kula kila kitu' Hadi kuvaa.
Skia huo' ni uiinga ndio maana wanawake wapo tayari kutembea na kibabu hawaangalii mwonekano .
Chukua mwanamke mwenye pesa, au life la kuleweka.
Anatumia zake na ww unatumia zako Hakuna kubeba msalaba wa mtu mwingne. Mwanamke maskini Akae mbali na mm kabisa 'hata soda ninunue mm alaaah ujinga huo'.
Maisha ni Akili ukiwa fala wa hisia za Mapenz utalia kila siku kumbe unaongozwa na sexual homon badala ya Brain.
#Kataa Mwanamke Maskini.
😍🪓🪓🪓Hujawahi kuwa na mahusiano na mwanamke aliyekuzidi pesa na elimu.
Utaona kuzimu duniani.
Wanawake wanataka dhahabu.
Tafuta hela.
Au sio atasabuni inalipiwaHakuna K ya Bure Mzee Baba
Kwani ni k tu ndo zinanuliwa yani kwani mwanamke mwili wake huwe kitega uchumi kwanini yani?ni kweli hakuna k ya bure japo zinatofautiana gharama, zipo za buku, zipo za laki na bei zingine huria, inategemea unataka ya gharama gani
Facts,na kwa kuongezea kataa mwanamke mwenye roho ya kimasikini hii ni mbaya sana maana inajumuisha,ubinafsi,uchawi,uroho,umalaya,yaani kila baya unalolijua liko kwenye roho ya umaskiniUpo sahihi mtoa Mada.
Ila ningependa kuweka sawa hili bandiko lako zuri kuhusu hawa Viumbe.
Mie ningependa kusisitiza vijana wajihusishe ktk mahusiano na WANAWAKE wasio Wabinafsi.
Maana unaweza kuwa na huyo mwenye hela ila akawa ni mbinafsi na akakutwisha mzigo zaidi.
Pia unaweza kuwa na huyo Maskini ila akawa na huruma na wewe asikutwishe mizigo mikubwa au mkagawana mizigo kulingana na hali halisi.
Binafsi sitaki MWANAMKE Ambae ni MBINAFSI.
Kabisa Kabisa 😅Au sio atasabuni inalipiwa
Mwanaume anaoa mwanamke ili amtunze. Mpaka hapo wewe siyo mwanaume tafuta kundi lako haraka!Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili.
Kuchukua Mwanamke maskini ni sawa na kuamua kubeba msalaba wake kila hitaji lake atakuletea ww, vocha kusuka mirasta ya 30k. Kula kila kitu' Hadi kuvaa.
Skia huo' ni uiinga ndio maana wanawake wapo tayari kutembea na kibabu hawaangalii mwonekano .
Chukua mwanamke mwenye pesa, au life la kuleweka.
Anatumia zake na ww unatumia zako Hakuna kubeba msalaba wa mtu mwingne. Mwanamke maskini Akae mbali na mm kabisa 'hata soda ninunue mm alaaah ujinga huo'.
Maisha ni Akili ukiwa fala wa hisia za Mapenz utalia kila siku kumbe unaongozwa na sexual homon badala ya Brain.
#Kataa Mwanamke Maskini.
Hebu ongeza sauti na uwaalike kwenye chama kama huku kwingine panawawia vigumu.Hakuna K ya Bure Mzee Baba
😅 😅 😅 😅 🙄zali la mentali liliishia kwa profesa J
Umeongea point sana kama wao wanatuuliza maswali unafanya kazi gani na unanyumba au unapanga ifike mahala tuaanze kuwafanyia interview pia kujua uchumi wao pia kama anafanya kazi gan na uchumi wake ukoje uwezi pesa mwaume mwenye pesa na yeye hana hizo pesa ni ujinga na upumbavuWanawake wanatukataa wanaume maskini pia
lengo hasa la kuwa na mwanamke ni kupata k muda wowote ukitaka bila hofu, hayo mengine ni ziada tu. Penzi kwanzaKwani ni k tu ndo zinanuliwa yani kwani mwanamke mwili wake huwe kitega uchumi kwanini yani?
Raha apate pesa achukue na kumuumiza MWANAUME amuumize