Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Endelea kusubiria kulelewa mtoto wa kiume[emoji1787][emoji112]
Ubaya uko wapi? Kulelewa na mtoto wa kike ni sunna...! Ila kulelewa na mwanaume mwenzako ni ajabu.

Unaonekana choka mbaya wewe[emoji38]
 
Acha uongo.! Mimi nimewahi na sijaona huo ujinga unaouongelea.
Sikia nikuambie kitu.
Mwanamke akikuzidi pesa basi mzidi akili na uwezo wako wa kitandani.
Kumbuka hutakuwa na power kwa huyo mwanamke kwa kuwa huna elimu na pesa kama yeye ila matumizi yako ya akili na mpangilio wa maisha ndo yatamvutia mwanamke huyo kumuamini mwanaume.
Ila na uhakika mahusiano yako na mwanamke ya aina hiyo haitadumu na akipata mtu mwenye pesa kumzidi yeye na anatoa shoo tamu kitandani atakuacha.
Mungu amemuumba mwanaume awe mtawala wa Kila kitu ndani ya mahusiano.
 
Ubaya uko wapi? Kulelewa na mtoto wa kike ni sunna...! Ila kulelewa na mwanaume mwenzako ni ajabu.

Unaonekana choka mbaya wewe[emoji38]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👋
 
Muandiko wako umeshakuumbua kuwa ni mwanamke choka mbaya[emoji38]
Huyo ni mwanamke akiwa choka mbaya, sisi wanaume ni jukumu letu kumbadilisha. Hata hivyo sio choka mbaya, double-check what you have written
 
napiga meza kuashiria naunga mkono hoja,kwanza ukioa mwanamke masikini huenda watoto wakarithi jenetic za kimasikini kutoka kwa mama yao. kama ilivyo kwa mwanamke kupenda tajili inapaswa nasiipia tukatae mwanamke masikini,kinacho uzii hubebi msalaba tu wa mke wako bali utabeba shida za ukoo wake wote, tongoza mwanamke tajiri kunusuru afya yako ya akili
 
Muandiko wako umeshakuumbua kuwa ni mwanamke choka mbaya[emoji38]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe sio mzima dume zima linataka mserereko!! Olewa bas upewe huduma bwege wewe
 
Huyo ni mwanamke akiwa choka mbaya, sisi wanaume ni jukumu letu kumbadilisha. Hata hivyo sio choka mbaya, double-check what you have written

Usimalize nguvu kujibu Marioo honey ukashindwa kunipa tamuu baadae [emoji6]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wewe sio mzima dume zima linataka mserereko!! Olewa bas upewe huduma bwege wewe
Hahaha mserereko nikipata kwa demu wangu hakuna ubaya... ija dume kulelewa na dume ndipo kuna ubaya. By the way wewe ni choka mbaya tu. Ptuuu[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Naona wanaume wasio na mkwanja wameanza kuingia [emoji1787] Mwanaume unapodai hutaki mwanamke masikini hakikisha nawe upo njema. Huwez kutafuta mtu mwenye hela ikiwa mwenyewe unapumulia mipira.
 
Back
Top Bottom