Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Mbinu ya Maisha kwa vijana: Kataa Mwanamke Masikini

Mtoa mada Unaonekana ni bwana mdogo Bado,huna experience ya maisha zaidi ya hisia zako za ujana tu...una safari ya kujifunza.
 
Andiko lako umelitoa kwenye kitabu gani? Wewe sema huna pesa bro
Mwanamke kiasili sio mtafutaji, ukikuta sio maskini basi ni jambo zuri. sisi ndio tunapaswa kumuwezesha mwanamke

Ukutane na demu kama cute wife alafu uanze kujiuliza ni maskini au tajiri, ili iwe nini?
 
Umeongea utumbo. Demu kama cute wife unaanzaje kumkataaa hata awe maskini?
 
Mwanamke kiasili sio mtafutaji, ukikuta sio maskini basi ni jambo zuri. sisi ndio tunapaswa kumuwezesha mwanamke

Ukutane na demu kama cute wife alafu uanze kujiuliza ni maskini au tajiri, ili iwe nini?

[emoji419] Kwa hii point leo nakupa yoteee [emoji2222]
 
Binafsi, nachoangalia kwa mwanamke wa kumuoa ni
1)uzuri
2)nimzidi umri na urefu
3)tako
4)tabia yake (jinsi anavyo-watreat wengine), na
5)upendo wake kwangu..

sasa kupata perfect balance ya ivo vigezo apo juu toka kwa mwanamke imenishinda, pesa ya mwanamke itanisaidia nini?

Last but not least, huyo mwanamke asinipendee hela..

 
Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili.

Kuchukua Mwanamke maskini ni sawa na kuamua kubeba msalaba wake kila hitaji lake atakuletea ww, vocha kusuka mirasta ya 30k. Kula kila kitu' Hadi kuvaa.

Skia huo' ni uiinga ndio maana wanawake wapo tayari kutembea na kibabu hawaangalii mwonekano .
Chukua mwanamke mwenye pesa, au life la kuleweka.

Anatumia zake na ww unatumia zako Hakuna kubeba msalaba wa mtu mwingne. Mwanamke maskini Akae mbali na mm kabisa 'hata soda ninunue mm alaaah ujinga huo'.

Maisha ni Akili ukiwa fala wa hisia za Mapenz utalia kila siku kumbe unaongozwa na sexual homon badala ya Brain.

#Kataa Mwanamke Maskini.
Maana yake vijana waoe wanawake wazee?

Vijana wa chuo siku hizi mna akili za hovyo sana
 
Back
Top Bottom