Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili.
Kuchukua Mwanamke maskini ni sawa na kuamua kubeba msalaba wake kila hitaji lake atakuletea ww, vocha kusuka mirasta ya 30k. Kula kila kitu' Hadi kuvaa.
Skia huo' ni uiinga ndio maana wanawake wapo tayari kutembea na kibabu hawaangalii mwonekano .
Chukua mwanamke mwenye pesa, au life la kuleweka.
Anatumia zake na ww unatumia zako Hakuna kubeba msalaba wa mtu mwingne. Mwanamke maskini Akae mbali na mm kabisa 'hata soda ninunue mm alaaah ujinga huo'.
Maisha ni Akili ukiwa fala wa hisia za Mapenz utalia kila siku kumbe unaongozwa na sexual homon badala ya Brain.
#Kataa Mwanamke Maskini.
Ni lazima wamgeuke kapiga kwenye mshono. Humu JF masikini ni wengi mno(wote ke na me), na hata kitaifa walalahoi ni wengi sana.Naona watu wamemgeuka mleta mada kwenye mada yake[emoji23][emoji23]
Umemaliza mkuu!Upo sahihi mtoa Mada.
Ila ningependa kuweka sawa hili bandiko lako zuri kuhusu hawa Viumbe.
Mie ningependa kusisitiza vijana wajihusishe ktk mahusiano na WANAWAKE wasio Wabinafsi.
Maana unaweza kuwa na huyo mwenye hela ila akawa ni mbinafsi na akakutwisha mzigo zaidi.
Pia unaweza kuwa na huyo Maskini ila akawa na huruma na wewe asikutwishe mizigo mikubwa au mkagawana mizigo kulingana na hali halisi.
Binafsi sitaki MWANAMKE Ambae ni MBINAFSI.
Acha kulaza akili kijana ni uvivu unakusumbua. Mtoto wa kiume changamka pambana sio usubiri kupambaniwa
Baadhi wanaangukia humo, sema unakuta kweli familia ipo njema kiasi kwamba wewe unahisi kuwa unfit kuingia humo.Hebu ongeza sauti na uwaalike kwenye chama kama huku kwingine panawawia vigumu.
Maskini atapata masikini mwenzie, zali la mentali liliishia kwa profesa J, na zile Cinderella stories, ni stories za zamani sana ambazo hazifanyi kazi katika huu ulimwengu wa dijitali. 😀😀😅
Unatakiwa uwe na vitu extra sana ili uopoe mtu ambaye ni wa class ya juu sana kwako.
...akaja na ID ingine kujarib kukukuruka, ila wapiNaona watu wamemgeuka mleta mada kwenye mada yake😂😂
Wanawake wasasa hivi nao wamepata fursa kwenye kazi tena nzuri tu na ni 50/50 inaelekea kukamilika kikamilifu inamaana nao Wana uwezo wakuhudumia na baadhi washaanza kuonekana Sasa yanini kutaka kumbebesha MWANAUME zigo lote yakusukia, ya nguo,yaVOCHA,ya kijola,ya mama anumwa Sasa pesa yao wanaipeleka wapi wanawake nao ni lazima wabadilishe mtazamo wao Kwa hao ambao hawajabadilikaMwanaume anaoa mwanamke ili amtunze. Mpaka hapo wewe siyo mwanaume tafuta kundi lako haraka!
asake pesa
hawezi aje nimpe badge
Binafsi, nachoangalia kwa mwanamke wa kumuoa ni
1)uzuri
2)nimzidi umri na urefu
3)tako
4)tabia yake (jinsi anavyo-watreat wengine), na
5)upendo wake kwangu..
sasa kupata perfect balance ya ivo vigezo apo juu toka kwa mwanamke imenishinda, pesa ya mwanamke itanisaidia nini?
Last but not least, huyo mwanamke asinipendee hela..
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] umri huu akili za nini tena mimi
Makasiriko ya Nini? Tafuta tu pesa!Vijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili.
Kuchukua Mwanamke maskini ni sawa na kuamua kubeba msalaba wake kila hitaji lake atakuletea ww, vocha kusuka mirasta ya 30k. Kula kila kitu' Hadi kuvaa.
Skia huo' ni uiinga ndio maana wanawake wapo tayari kutembea na kibabu hawaangalii mwonekano .
Chukua mwanamke mwenye pesa, au life la kuleweka.
Anatumia zake na ww unatumia zako Hakuna kubeba msalaba wa mtu mwingne. Mwanamke maskini Akae mbali na mm kabisa 'hata soda ninunue mm alaaah ujinga huo'.
Maisha ni Akili ukiwa fala wa hisia za Mapenz utalia kila siku kumbe unaongozwa na sexual homon badala ya Brain.
#Kataa Mwanamke Maskini.
Kichwani tupu kabisa
Hahaha mserereko nikipata kwa demu wangu hakuna ubaya... ija dume kulelewa na dume ndipo kuna ubaya. By the way wewe ni choka mbaya tu. Ptuuu[emoji38][emoji38][emoji38]
Nas wanawake wawakatae makapuku kama wewe mnyonyaji unayetafuta kula bure nyambaffVijana wa Kiume wengi wanapenda Sana kuanzisha mausiano na mwanamke kisa ni mzuri, Ana takle Mara mwonekano wa weupe yote sawa Ila kuweni na Akili Acha kabisa kutongoza mwanamke maskini Kama maisha yako ni ya kuunga unga huna mifereji ya pesa za kuelewaka tumia akili.
Kuchukua Mwanamke maskini ni sawa na kuamua kubeba msalaba wake kila hitaji lake atakuletea ww, vocha kusuka mirasta ya 30k. Kula kila kitu' Hadi kuvaa.
Skia huo' ni uiinga ndio maana wanawake wapo tayari kutembea na kibabu hawaangalii mwonekano .
Chukua mwanamke mwenye pesa, au life la kuleweka.
Anatumia zake na ww unatumia zako Hakuna kubeba msalaba wa mtu mwingne. Mwanamke maskini Akae mbali na mm kabisa 'hata soda ninunue mm alaaah ujinga huo'.
Maisha ni Akili ukiwa fala wa hisia za Mapenz utalia kila siku kumbe unaongozwa na sexual homon badala ya Brain.
#Kataa Mwanamke Maskini.
jamaa hujamwelewa siyo kumkataa labda upige usepe ila siyo kwa malengo ya kuoa