Mbinu za kuchukua namba ya Simu katika Mazingira Magumu

Vipi ulimtunuku Mzee mpambanaji?
 
hv kwan chapati shingapi?
 
Nipo kwenye basi from Mbeya to Dar. Hii safari haikupangiliwa in advance so nilikurupushwa tu. Kupigania siti nikaambulia siti ya pili kutoka mwisho upande wa kulia. Abiria niliyekaa naye kidume mwenzangu. Ila kumbe yeye akaja kushukia Moro. Kufika Mikese wakapanda abiria wawili mdada na mkaka. Kwa haraka nikaona wale ni mtu na mume wake au wachumba. Sasa mdada akaja kukaa nilipo, jamaa akaambulia siti ya mbele (usawa ule ule). Walipopanda konda akaja kuchukua nauli walibishana sana nauli inapelea. wakajikamua kamua sana kwa mbinde konda akarudi huku anafoka foka kwa kuambulia nauli pungufu.

Binti mrembo sana white anang'aa bila make up, nywele kachana tuu (kuku wa kienyeji ila safi hatari). Mguu a bia umbo namba 8, Mtoto alinivuruga haswa. Baadaye nilielewa ni mtu na mchumba wake. Picha ilianza nikawa nachezea simu janja yangu kila nikiwa eneo lenye mtandao nafungua internet najisomea habari, mara whatssap. Kuna zile breaking news kwenye social media nikachomekea story flani na yeye akanza kuchangia mada hata abiria wa siti jirani nao ikawa story story. wakati mwingine nafungua gallery naanza kuangalia videoz za kicheshi cheshi zile za kuchekesha nikaona na yeye anapiga chabo haswa niukawa namsogezea aangalie vzuri. Kwa jinsi nilivyomsoma binti hana simu janja ana kiswaswadu. Kucheki jamaa kwa mbele ni kama anasinzia.

Kuna muda binti akapigiwa simu na mtu (nahisi ndugu yake) kwenye maongezi yao akamjibu huyo mtu kuwa yeye hana dakika wala sms. Nikajiwazia huyu mwanaume naye jipu, anakaaje na mtoto mkali vile ashindwe kumnunulia vocha? Alivyokata simu nikamwandikia sms "si vizuri kusafiri njiani huna hata vocha, ukipata tatizo unatoaje taarifa nyumbani?" nikamwonyeshea aisome. akaicheki akaniangalia akaachia tabasamu, akachukua simu yangu akanijibu "sina hela sasa, hapa nauli tu tumebangaiza kweli". Akanirudishia simu nikafuta zile sms, nikamwambia andika namba nikununulie vocha kwenye m pesa". Akajibu "M pesa nadaiwa songesha". Nikauliza sh ngapi, akasema 5k. nikasemawee weka namba. Hapo tunachat tumejifanya kama tunasinzia hivi tumeegamia siti kwa mbele.

Akatii maelekezo nikarusha 15k. alipoiona ile sms hakuamini macho yake nikaona tabasamu lenye mng'ao flani amazing. nikamwambia nunua kifurushi, mawasiliano muhimu njiani, akafanya hivyo. Kesho yake wala sikumtafuta ila yeye alinitafuta mwenyewe kunishukuru. Ule mzigo niliukula siku ya pili yake. Kumbe kwao ni Moro, nimekula mzigo mara kibao hadi nimetekewa na penzi la yule mtoto. sometimes napanga safari kumbe nashukia Moro kwanza kabla ya kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…