Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

Akili za wafuasi wa chadema hizi

Povu rukhsa
 
SHIDA YETU SISI MASIKINI HUWA TUNAFIKRI KUTESEKA NI SIFA .
Yaani mtu anajisifu kwa kusema nimepitia shida nyingi sana n.k lakini kwa jamii nyingine huwa ni majuto na hatamani mtoto wake apitie hayo.
Na ndio maana hatuendelei kwasababu kila kizazi kinaanza zero .
Wewe ulianza zero unamtimua mtoto wako akaanze zero sasa familia itanyanyuka kiuchumi kweli ?
 
Na haya ndiyo mawazo ya masikini katika nchi ya Tanzania .

Yaani mtoto nizae mimi alafu majukum akatafute yeye na bado akatafute kwa manunguniko ya kufukuzwa nyumbani kwa vitendo ?

Ahsante ndugu sitaweza kufanya hivyo iwe wa kike au kiume nitakula na wanangu kidogo nitakachopata ,nitafurahi na wanangu kwa kikubwa nitakachojaaliwa ila akiamua kwenda kupambana aende kwa hiyari yake na sio shinikizo langu .

Sikufukuzwa kwetu ni ajira iliniondosha ila isingekuwa ajira hata sasa nahisi ninhebaki kwetu kuyalinda makaburi ya baba na mama na ndiyo maana siwezi pitisha miezi miwili sijarudi kwetu walau kuona niuze nini niendelee kupambana na mdudu maisha .

Tusiwe hivyo sio sawa ,imeniuma ila usiniulize kwanini nimeongea kwa hisia namna hii .
 
Ujue tu siku nguvu zako zitakapoisha lazima tu kisasi kitalipwa , utateswa zaidi ya wewe ulichofanya ongea nao tu vizuri watahama tu usiwe na haraka
 
Wewe ni mzazi WA kambo kabisa bila kupepesa macho Wenda hoja inayofaa hapo ni Moja tu kuwahi kufika nyumban mwisho Sa1 usiku lakini ni nyingine ni uuaji
 
Mpe hi mzee wako ,mwambie yeye ni mzazi na hakika najivunia kusikia habari zake .

Lakini mpe hi bro mwambie akaze hapo ndiyo kwao sio kuondoka kizembe kizembe
 
Naunga mkono hoja , komaa hapo bwashee mpaka mavz yaote mvi
Mkuu hapa sitoki.. Ameyataka mwenyew hajanitengenezea mazingira ya kujitegemea toka nikiwa mdogo!
Sasa kwanin nipate shida na mzee wangu yupo?
Tena ukizingatia umri wangu bado mdogo, yani miaka 42 ni ya kutoka nyumbn kweli? Hapana me bdo mdg
 
Wewe usingesoma ungekuwa mchawi
 
Mzee wako miaka 70 akulishe jibaba miaka 35
Et uhurumiwe sijui mtaji, sijui Nini?
Toka nje pambana, wote tumetoka Taifa masikini laZima tupambane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…