MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Ondeke wa mawe .Mzee wako miaka 70 akulishe jibaba miaka 35
Et uhurumiwe sijui mtaji, sijui Nini?
Toka nje pambana, wote tumetoka Taifa masikini laZima tupambane

Kijana anapambana kutoboa...changamoto ni nyingi...wewe unamuona mzembe...Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
Kuzaa ni asiliKwani aliomba umlete dunian km sio nyege zako...km vipi mpe mtaji akapambane mbele kwa mbele
Kwa vijana wanajipambania na kukwama hao Sina shida naoKijana anapambana kutoboa...changamoto ni nyingi...wewe unamuona mzembe...
Unamsimanga lakini anavumilia...
Ghafla anatoboa ana kupita kiuchumi..
Anaamua kukuchunia kutokana na masimango uliyompa...unaanza kulalamika kuwa hakumbuki fadhila.
Kataa wavivu...ila kama anapambana kujinasua kiuchumi mpe support.
Kumfukuza kwao ndo kulimpa hasira na kupambana hatimaye ametoboa.Haya mambo ni kuyaendea kwa akili kama wewe ni mzazi,..Kuna jamaa yangu alifukuzwa kwao na baba ake kwa kigezo hichohicho cha umri wa kukaa home umekwisha, manyanyaso kibao plus kunyimwa msosi ,mwamba akaona isiwe tabu akaondoka akaanza kupambana baada ya muda kweli mambo yakanyooka, ila sasa jamaa hataki kuwasaidia kwao kifupi mkubwa alijenga roho ya kisasi hataki kuzisikia habari za nyumbani kwao.
Mtoto wa tajiri hawezi kuhama nyumbani, kwenu maskini mnaoshea chumba kimoja, afu matoto mengi kama tim ya Mpira, chakula Cha tabu, njaa tupu ndo mtahamaJamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
Eti mtoto kwa baba hakui.W
Watoto wazembe lazima wafukuzwe
Umri umeenda miaka 38 unataka Mzee wa miaka 70 ndo akulishe
Wewe ni mtoto wa Bakhresa au Mo Dewji?Mtoto wa tajiri hawezi kuhama nyumbani, kwenu maskini mnaoshea chumba kimoja, afu matoto mengi kama tim ya Mpira, chakula Cha tabu, njaa tupu ndo mtahama
Watoto wa tajiri kama dewji na bakhresa kwao wapo wawili au mmoja afu nyumba yenyewe ghorofa apartment zaidi ya kumi, ahame au wahame waende wapi nani atasimamia mjengo, nani atasimamia Mali angali wazazi tyari ni wazee????
Pumba tupuJamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
Wakola muno ,ndeke ebitoke obyomwaitu ngede kuhangaika ,chei banyansika munganyile tindi tayari kabisaMpola kaziro
Tafuta hela mkuu , Watoto hawafukuzwi Kama Nyau.
nakuunga mkono kwa hilo lakini unatakiwa uwe makini sana kwenye mbinu za kumuondoa bila kujenga chuki na hatimae visasi hapo baadae, hivi unashindwa nini kukaa mezani na kijana wako na kumuelezea uhalisia na maisha yanataka nini mpaka umnyime chakula, umuweke chumba kimoja na majogoo alfajiri yanamuwikia, kumuwekea mazao chumba anacholala afanyiwe vurugu na panya nk,....yani hata ingekuwa mimi nikiondoka nakata mawasiliano mazima iwe ntafanikiwa au lahKumfukuza kwao ndo kulimpa hasira na kupambana hatimaye ametoboa.
Hii ni kanuni laZima umri ukifika pisha nyumbani kapambane
Utajiri hauko nyumbani hapo Kuna comfort zone ambayo haitakuinua kiuchumi
Tafsiri ya mzazi ni baba lakini ili kumpa sifa yake kulingana na matendo yake kuna dingi alafu kuna mshua mwenye uzi ni dingi yaani mzee wa ovyo mwenye itikadi za kikoloni asiye jali zee bandidu yaani Hana hata chembe ya ushua!Mzee wa hovyo
sMzee wa hovyo
Zanzibar kijana anamshahara bado anaishi kwao na baba anahudumiaSasa hapo wewe mzazi si ndo mzembe,, hapo ina maana ulishindwa kulea... mwanao anafikisha miaka 25+ upo naye nyumbani hafanyi chochote kwenye maisha haya..