Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

Baba kuwa masikini haina maana kwamba vijana wake wasijitegemee.
Kushindwa kujitegemea ni uvivu wa mtu.
Sio wote matajiri ni watoto wa Bakhresa.
Kujitegemea ni hatua ngumu ambayo vijana wavivu huikimbia na kutafuta visingizio ati baba hakuniandalia mazingira.
Mzazi aliyekukuza, una nguvu na akili unashindwa kujilisha unamlalamikia baba yako
Mzee ana miaka 70 akulishe kijana wa miaka 34
Lazima nikufukuze ukashitaki mahakamani udai haki yako hiko
Mwanzo ulisema miaka 25 sasahivi unasema miaka 34, mbona ni kama cases mbili tofauti maana mtu wa miaka 25 ndio kwanza anaanza maisha
Mi nahisi hiyo 34 unaitaja ili kukuza tu mambo ionekane mtoto hadi anakuwa mbaba bado hajahama kwao
Vipi kuhusu case ya miaka 25? Vipi kama kijana anajipanga ili aanze kujitegemea akiwa na miaka 26? Utamfukuza kabla hajajiandaa?
 
Akimaliza masomo tu badilisha mfumo wa maisha kabia juu kama Mourinho piga 4-4-2 akiamka asubuhi akute chai kavu vitafuno anunue kwa hela yake, mchana ugali mkavu mboga akanunue samaki ya kulumamgia mwenyewe, akienda kuoga subiri ajipake mapovu usoni kata maji asioge kama anaoga na ndoo weka upupu
 
Asilimia kubwa watu wa humu munaendeshwa na nyuzi

Akimaliza masomo tu badilisha mfumo wa maisha kabia juu kama Mourinho piga 4-4-2 akiamka asubuhi akute chai kavu vitafuno anunue kwa hela yake, mchana ugali mkavu mboga akanunue samaki ya kulumamgia mwenyewe, akienda kuoga subiri ajipake mapovu usoni kata maji asioge kama anaoga na ndoo weka upupu
Ushetani unawavaaa na kujibu majibu ya kiuaji
 
Akimaliza masomo tu badilisha mfumo wa maisha kabia juu kama Mourinho piga 4-4-2 akiamka asubuhi akute chai kavu vitafuno anunue kwa hela yake, mchana ugali mkavu mboga akanunue samaki ya kulumamgia mwenyewe, akienda kuoga subiri ajipake mapovu usoni kata maji asioge kama anaoga na ndoo weka upupu
Haya ni mauaji sasa 😂😂
 
Mwanzo ulisema miaka 25 sasahivi unasema miaka 34, mbona ni kama cases mbili tofauti maana mtu wa miaka 25 ndio kwanza anaanza maisha
Mi nahisi hiyo 34 unaitaja ili kukuza tu mambo ionekane mtoto hadi anakuwa mbaba bado hajahama kwao
Vipi kuhusu case ya miaka 25? Vipi kama kijana anajipanga ili aanze kujitegemea akiwa na miaka 26? Utamfukuza kabla hajajiandaa?
Kijana wa miaka 25 ashakuwa mtu mzima
Ana nguvu na akili za kijitafuta na kujenga familia yake
Kama kweli atakuwa anapambana na anakosa huyo anavumilika ila sio wale wanaamka wanabweteka na fashion na kubet tu
 
Hapo sawa
 
Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea

1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea

2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu

3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine

4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV

5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama

6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe

7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake

8 Usimpe chakula cha kutosha

9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke

10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke

11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Ngoja aje Njombe tunakusahau
 
Kumfukuza kijana nyumbani kwenda kujitafutia maisha bila kumuandalia mazingira ya kiuchumi mapema si sahihi, na kwa kweli, kunaweza kuwa na madhara makubwa na ya kudumu kwake na hata kwa jamii. Hapa kuna sababu kadhaa za kwa nini hii haipendekezwi:

### 1. Hatari ya Kudidimia Kiuchumi na Kisaikolojia

Kijana asiye na maandalizi ya kiuchumi (kama elimu, ujuzi wa kazi, au mtaji mdogo wa kuanzia biashara) anakabiliwa na changamoto kubwa za kupata riziki. Hii inaweza kusababisha:

  • Umasikini: Anaweza kujikuta katika hali ya umasikini uliokithiri, akishindwa kukidhi mahitaji ya msingi kama chakula, malazi, na mavazi.
  • Kukata Tamaa na Msongo wa Mawazo: Kukabiliana na ugumu wa maisha bila msaada kunaweza kusababisha kijana kukata tamaa, kupata msongo wa mawazo, na hata kukosa tumaini. Afya yake ya akili inaweza kuathirika vibaya.
  • Kujiingiza Katika Vitendo Visivyofaa: Katika hali ya kukata tamaa na kutafuta njia za kujikimu, baadhi ya vijana wanaweza kujiingiza katika uhalifu, matumizi ya dawa za kulevya, au shughuli zingine zisizo halali.

### 2. Wajibu wa Wazazi/Walezi

Wazazi au walezi wana jukumu la msingi la kuwaandaa watoto wao kwa maisha ya baadaye. Hii haimaanishi kuwalisha au kuwapa kila kitu hadi uzee, bali ni kuwajengea msingi imara unaowaruhusu kujitegemea na kufanikiwa. Msingi huu unajumuisha:

  • Elimu Bora: Kuhakikisha wanapata elimu bora ambayo itawapa ujuzi na maarifa yanayohitajika katika soko la ajira.
  • Ujuzi wa Ufundi au Biashara: Kuwafundisha ujuzi wa ufundi au biashara kama hawana nafasi ya kuendelea na elimu ya juu.
  • Malezi ya Maadili na Nidhamu: Kuwajengea maadili mema, nidhamu, na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi.
  • Kuwapa Mtaji wa Kuanzia (ikiwezekana): Kuwawezesha kuanza biashara ndogo au kuwasaidia kupata ajira.

### 3. Athari kwa Jamii

Kijana anayedhulumiwa kiuchumi na kijamii anaweza kuwa mzigo kwa jamii. Badala ya kuwa raia anayechangia maendeleo, anaweza kuwa:

  • Chanzo cha Tatizo: Kuongeza idadi ya vijana wasio na ajira, wasio na makazi, au wanaoshiriki katika vitendo vya uhalifu.
  • Kupoteza Vipaji: Jamii inapoteza vipaji na uwezo wa kijana huyo kuchangia maendeleo ikiwa hajapewa fursa na mazingira sahihi.

### 4. Ni Wakati Gani Kijana Anapaswa Kujitegemea?

Kila kijana ana kasi yake ya kukua na kujitegemea. Hakuna umri maalum wa "kumfukuza" mtoto, bali ni zaidi ya:

  • Uwezo wa Kujitegemea: Wakati kijana ana ujuzi, elimu, au uzoefu unaomwezesha kupata ajira au kujiajiri na kujikimu bila kutegemea wazazi.
  • Kukomaa Kisaikolojia: Wakati anaweza kukabiliana na changamoto za maisha, kufanya maamuzi sahihi, na kuwajibika.

---
Badala ya kumfukuza, ni muhimu kwa wazazi kuendelea kuwa nguzo ya msaada na ushauri hata kama kijana amekuwa mtu mzima. Hii haimaanishi kuwalisha kila kitu, bali ni kuwapa uwezo wa kusimama wenyewe na, hatimaye, wao wenyewe waweze kuwajengea watoto wao msingi bora.

Je, ungependa kujua zaidi kuhusu jinsi ya kumuandaa kijana kiuchumi?
 
Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea

1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea

2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu

3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine

4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV

5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama

6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe

7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake

8 Usimpe chakula cha kutosha

9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke

10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke

11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Unashauriwa kitaalamu ikiwa hauna urithi na mali za kumpatia mtoto utakayemzaa usizae kabisa.

Watazame wahindi na waarabu wanavyoishi katika jamii zao .

Kwahiyo haikisha unaushinda umasikini ndo uzae mtoto kwakuwa mzazi anabidi kukaa na mtoto wake hadi huyo mtoto wake atakapoamua kuandoka kwa matakwa yake na sio kufukuzwa.

Umewahi kuona watoto wa matajiri wanafukuzwa?..
 
Back
Top Bottom