Humfukuzi kwasababu una hela ama la. Unamjenga ili aweze kukabiliana na maisha na atakapo hama siyo kwamba utamuacha lazima umfuatilie na ujue maendeleo yake na akikwama huna budi kumsaidia...Hivi ungejaaliwa kuwa na fedha nyingi ? Ungewaza kumfukuza home mwanao wa kumzaa?
Kama ukifanya hivyo naye atakuwa anaweza kujenga za kutosha na kuwapa wanae? Hell No, aliyezoea kutafutiwa hataweza kujitafutia. Mkiwafanyia watoto hivi mtawaharibu. Wazungu wenyewe na akili zao hawafanyi huu ujinga wa waafrika matajiri wa kuwatafunia watoto kwa kuwajengea na kuwatafutia kila kitu na hivyo kuwafanya waishi kwenye comfort zone.Jenga nyumba za kutosha uwagawie watoto wako
Hizi ni mbinu za vikabila vile vichovu. Sisi Usukumani hata akioa kijana anaolea akiwa hapo home na wanaruhusiwa kukaa mpaka miaka mitano wakijitafuta. Kama kijana hajaoa lazima awe na kajumba kake pembeni (tunaita m'aji) siyo kulala kwenye nyumba ya wazazi, ni huku mjini tu ndiyo tumekengeuka. Ukifanya yote hayo uliyotaja utakuwa na roho mbaya tu!Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Awe anafungia mbuzi kwenye nyasi anafungulia warudi nyumbani.Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno

Kwa wazungu na huku ni tofauti. Huku Africa ajira hakuna ni bora kumuandaa mwanao kutokuwa masikini baadae kwa hiyo si kila kitu wanachofanya Waafrika ni ujinga eti kwa sababu tu wazungu hawafanyiKama ukifanya hivyo naye atakuwa anaweza kujenga za kutosha na kuwapa wanae? Hell No, aliyezoea kutafutiwa hataweza kujitafutia. Mkiwafanyia watoto hivi mtawaharibu. Wazungu wenyewe na akili zao hawafanyi huu ujinga wa waafrika matajiri wa kuwatafunia watoto kwa kuwajengea na kuwatafutia kila kitu na hivyo kuwafanya waishi kwenye comfort zone.
Mmmh, hii ngumu lazima kiwake!Mimi hapa kwa mzee sitoki, akitaka atoke yeye..
Me nipo kwa baba yangu,kama nambana au kumpa kero,yeye ndo ahame aende kwa baba yake.
Kwa hiyo na wewe watoto wako utawapa nyumba na mtaji wa biashara? Na wao wakizaa wa kwao wataendelea kufanya hivyo hivyo? Kwamba hawa vijana wanaozaliwa wanapaswa kukuta kila kitu kimeandaliwa? Maisha ndio yanapaswa kuwa hivyo?Ushauri
Zaa watoto unaowamudu .
Mimi sihishi nyumbani Ila nimepewa Nyumba ya kisasa na shamba kubwa na ndugu wote wamepewa
Achilia mbali kusomeshwa na hata nikikwama naomba sapoti kwa mzee wangu.
Jitahidi uzae watoto unaowamudu mkuu ukiwa upo vizuri kiuchumi hauwezi kumfukuza mwanao au kumwambia aondoke
Sasa. Wewe una Nyumba moja vyumba vinne unazaa watoto watano.
So kila mtu amtafutie mwanae kwa kuwa sisi ni maskini? Hivyo utafutaji ubaki kwa wazazi na mtoto akikuwa atumie tu na aendelee kuishi hapo kwako. Akishazeeka naye amtafutie mwanae, mwanae naye ale tu kisha amtafutie mwanae.Kwa wazungu na huku ni tofauti. Huku Africa ajira hakuna ni bora kumuandaa mwanao kutokuwa masikini baadae kwa hiyo si kila kitu wanachofanya Waafrika ni ujinga eti kwa sababu tu wazungu hawafanyi
Yani kama ndo unaweza kufukuza mtoto hovyo ww mnyambwa basi hufai kabisa...endelea kupiga puli...😊😊😊Naomba Kwa hiari nikuzae uwe mwanangu mtani wangu mbumbumbu
Vipi kwa wanaolalaga sebuleni nao wawekewe mzinga wa nyuki?2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
Unamfukuza ili akawe mwizi?,ombaomba,danga? Au ni raha kuona damu yako ikihangaika mtaani?Jamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno
Furahia ya wazazi ni kuona kijana wao anapambana na kujitegemea.
Wazazi wanapenda wafurahie uzee wao bila kubanwa na nyie watoto, wazee wanahitaji wakae sebuleni wapate mabusu moto moto, Sasa jitu zima upo kwenu kuwabana wazazi
Kijana anafikia miaka 25+ Bado yupo Kwa wazazi, anakula Kwa wazazi, analala Kwa wazazi na hapo hana mpango wa kuoa, kuwa na biashara au kazi ya uhakika
Wazazi wetu walitumia mbinu hizi na vijana tuliondoka nyumbani bila kupenda na kwenda kujitegemea
1. Fanya chumba cha kijana kuwa stoo.
Yaani hapa weka mahindi, karanga, maharage, huko usiku atapambana na panya na mende,
Akili itamjaa ataamua kujitegemea
2. Hifadhi mziga wa nyuki humo chumbani,
Ataondoka tu
3. Mpangie muda wa kurejea nyumbani, mfano mpangie hapo kwako kabla ya saa 1 usiku kila mtu awe nyumbani akizidi hapo atafute pa kulala
Vijana wanapenda uhuru akiukosa kwako laZima autafute pengine
4 Mnyime uhuru wa kutumia vitu vidogo kama redio na TV
5 Mpe maneno ya fedheha
Mfano jitu zima unakula ugali wa mama
6. Vunja kitasa cha mlango, mfanyie upekuzi wa Siri zake.
Kwa mbinu hii ya maudhi laZima akupishe
7 weka mifugo kama kuku na bata humo chumbani
Jogoo wakiwika alfajiri ataamka na hakika atakupisha hapo kwako uzidi kufurahia uzee na mama yake
8 Usimpe chakula cha kutosha
9 Nuna/ kasirika bila sababu
Usimchekee vaa sura ya kamanda Mliro muda wote
Hapo laZima aondoke
10. Mpe majukumu ya house girls
Aoshe vyombo, afagie, akusanye mayai n.k
Hapo laZima aondoke
11. Akiamka akute chai kavu, mchana mpe ugali bila mboga, usimnunulie loshen akioga apauke kama nguruwe pori
Hapo laZima akili itamkaa aamke kusaka mkate na atakushukuru baadaye
Shida ya wa Africa ni ubinafsi uliopindukia hivi unawezaje kuwaza ujinga huu na kumfanyia mtu aliekuja duniani kwa starehe zako za nyege??? ni jukumu la waliofanya mapenzi kupambana kuhakikisha waliemleta duniani hajutii kuletwa, ndio maana race ya ki Africa ndio race yenye umaskini uliopindukia, tofauti na jamii ya watu wengine hivi kweli mafanikio ni kama mche wa mgomba ukifa mkubwa unaacha miche midogo ichukue nafasi ktk shina hilo hilo moja, ni aibu kuona jitu zima kama wewe huelewi namna bora ya kuruthisha mambo yanayofaa kwa uzao wako zaidi ya kuendekeza ubinafsi, huna maana kabisaJamii yetu imekuwa na vijana wa ovyo na walegevu mno