Mbinu za kumfukuza kwako kijana aliyefikia umri wa kujitegemea

Mzee ana miaka 70 ukaishi kwake akulishe libaba miaka 38
Sawa vijana wana uwezo wa kuondoka kabisa hapo home.

Na ninyi wazazi Msiwasumbue tena vijana wenu warudi hapo nyumbani kuwajulia hali.

Sio mnafukuza vijana, halafu wakishajipata kimaisha mnaanza kuwasumbua kuwaomba wawatunze.
 
Hii komenti nimeikubali sana.

Ukicheki wazazi wa Elon musk walikuwa matajiri wakamshape mwanao kwenye utajiri.

Donald Trump hivyo hivyo.

Mo Dewji hivyo hivyo.

Yani mtoto anakuzwa kuendeleza utajiri wa baba. Inakuwa ni mwendo waku endeleza generational wealth

Wabongo wanataka kila mtu aanzie Zero. Ndio maana hatufiki.
 
Nikiondoka nyumbani nan atakua anafungulia kuku,nani atang'oa majani njee,nani atasaidia kuchota dukani ,nan atatumiwa dukani
Naoleaa nyumbani nantazeekea hapo hatabiblia inasema utajiri tutarisi kutoka kwa wazazi msitusumbuee
 
Safiri mwaka mzima

————-simple and clear——————
 
haya ni kwa mtoto wa kiume tu au hata mtoto wa kike nae anafanyiwa haya?
 
asa mnazaa ili iweje kama hamuwatak baadae?
 
Mkuu pole sana.

Ila kabla haujaoa au kupata mtoto

Hakikisha umejiandaa kulea mtoto to his or her lifetime. Don't mess up about that .

Mtoto anabidi asianzie zero kabisa anabidi akizaliwa akute everything is there yeye either aongeze au kuendeleza.

Ukiwa masikini wa Mali na fedha make sure unakuwa na utajiri wa akili .

Utajiri mkubwa ni akili , Afya na Mali then ndo inafata pesa

Sasa the only you think is about currency .

Haufikirii utazeeka who gonna help you?

Haufikirii utahitaji msaada wa kuuguzwa ukiwa katika bed death who gonna take care of you.


Everyday tunemkuwa tukiwaambia ukijihisi upo masikini don't marry don't give a birth stay single forever .
 
Sasa huo si unyama kwanini ulimzaa? Huo ni ukatili tafta lugha nzuri ya kumuweka sawa
 
Unafungua shamba yeye anakuwa meneja...anakaa huko huko shambani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…