Mbinu za kupata Mishangazi ya JF

Mwanasheria kapatikana hewani lkn simu ikazima ghafla naona chaji imeisha ila kaniruhusu niongeze nyingine moja,,,,hakikisha mwamba unakuwa na avatar ya kuvutia hata kama sio wewe halisi,,kumbuka mwisho wa siku avatar yako ndio utambulisho wako wewe member na unakuwa kama ndio wewe,,,hii itakuongezea mvuto fulan hivi

Ili unielewe vizuri angalia madam ambao huwa wana avatar nzur na ambao huwa hawazibadilishi mara kwa mara inakuwa kama utambulisho kwao na zinavutia avatar zao,,,mfano binti yangu kipenzi Mademoiselle she looks nice,,mcheki madam Nifah au my To yeye sometime na avatar zake huwa ananoga sana

The same to you mwamba weka avatar kali trust me inakunogesha

Mwanasheria akipatana hewani ntakuja na nyingine
 
Mwanasheria kapatikana hewani lkn simu ikazima ghafla naona chaji imeisha ila kaniruhusu niongeze nyingi moja,,,,hakikisha mwamba unakuwa na avatar ya kuvutia hata kama sio wewe halisi,,kumbuka mwisho wa siku avatar yako ndio utambulisho wako wewe member na unakuwa kama ndio wewe,,,hii itakuongezea mvuto fulan hivi

Ili unielewe vizuri angalia madam ambao huwa wana avatar nzur na ambao huwa hawazibadilishi mara kwa mara inakuwa kama utambulisho kwao na zinavutia avatar zao,,,mfano binti yangu kipenzi Mademoiselle she looks nice,,mcheki madam Nifah au my To yeye sometime na avatar zake huwa ananoga sana

The same to you mwamba weka avatar kali trust me inakunogesha

Mwanasheria akipatana hewani ntakuja na nyingi
Unajicheleweshea fursa kijana....
Trust me Evelyn Salt huwa nakukubali sana kwa comment zako za kibabe,,,,ishu ni kwamba naweza kukubali halafu ukanidhulumu na usinipe chochote so ni muhimu kumshirikisha mwanasheria coz mwisho wa siku yeye ndo atasimama kizimbani kwa niaba yangu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kijana sina maneno mengi, sina muda wa kuchat....naomba acc namba.

Tukutane next weekend
 
W

Which country is this ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…