Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
- Thread starter
-
- #181
Sahau kuwa tajiriUshauri sio mzuri kabisa huu, maisha ni kula maisha
Huu unahiri ni kujinyima raha za maisha tu
Wewe ni mlafi na mtumwa wa pesa na mali.
Endelea kuzikisanya then utakufa bila kula kadansee wala pipi za dunia
Kalaga baho
Haswaa, watu hata hawaelewiMkuu wewe umekuja na Definition yako na mtazamo wako pia ila mimi ndivyo nilivyelewa, ubahili sio kushindia kashata na kahawa tu, ubahili ni kuacha mbwembwe zisizo na msingi.
Na ndio haswaa nawazungumziaDaah ila kwa wale vijana ambao ndio kwanza wanaanza wapo ktk utafutaji ukiwa bahili utaachwa kila siku na mademu
Ila ndio vizuri unaweza tofautisha kati ya makapi na material halisi
Why ujenge nyumba ya 200mNimeambiwa niandae walau m200,
Ni ndoto yangu na pia napenda Sana ghorofa, nikipitaga kule mbezi beach kuona watu wako kwenye vighorofa roho inafurahi sanaWhy ujenge nyumba ya 200m
Brother,..huyu anajifanya kufundisha watu Maisha hana chochote anatafta akili humu jf ili atoke..hakuna bahili ameanza Kama yeye akawa bilionea Kwa Hali ya umaskini wa bongo....wenye hela wengi wamerithi...au wameanza miaka mingi ( si Kwa umri wake)..au wamefanya biashara haramu..au wameiba serikalini(ufisadi)...n.k ...tz tunaijua...huyu amezidisha chumvi...na Kama ni bahili basi si matumizi ya mil 80 au 70 anazosema amejengea...Kwa umri wake hakuna uhalisia....anatafta mawazo ya kutoka tumsaidie .
Watu wana-fight, na hakuna sababu ya msingi ya kumfanya kijana kama mtoa post asiwe na mafanikio aliyonayo katika umri huo yaani! Upo sahihi, ni kama ana stress na wivu unachangia.Brother,
Bandiko lako linaonyesha una stress nyingi. Hebu kanywe maji then urudi!
Nashindwa nikujibu nini. Ila nna uhakika leo chakula hakipiti kwa hasira+chuki+wivu ulionao..huyu anajifanya kufundisha watu Maisha hana chochote anatafta akili humu jf ili atoke..hakuna bahili ameanza Kama yeye akawa bilionea Kwa Hali ya umaskini wa bongo....wenye hela wengi wamerithi...au wameanza miaka mingi ( si Kwa umri wake)..au wamefanya biashara haramu..au wameiba serikalini(ufisadi)...n.k ...tz tunaijua...huyu amezidisha chumvi...na Kama ni bahili basi si matumizi ya mil 80 au 70 anazosema amejengea...Kwa umri wake hakuna uhalisia....anatafta mawazo ya kutoka tumsaidie .
Ndio Hawa wanaosema Fred vunjabei anauza madawa, kisa tu maisha aliyonayo.Watu wana-fight, na hakuna sababu ya msingi ya kumfanya kijana kama mtoa post asiwe na mafanikio aliyonayo katika umri huo yaani! Upo sahihi, ni kama ana stress na wivu unachangia.
Hawa ndio wabongo na ndio maana Hadi leo wanaamini Fred vunja bei ni muuza madawa.Brother,
Bandiko lako linaonyesha una stress nyingi. Hebu kanywe maji then urudi!
Na ndio maana vijana wengi wa TZ wanakufa masikini. Husda, kijicho na majungu huchangia pakubwa sana.Ndio Hawa wanaosema Fred vunjabei anauza madawa, kisa tu maisha aliyonayo.
Juzi wakati anasaidi dili la jezi la bilioni 2 Kuna watu walikasirika Sana, povu likawatoka. Ooh anatoa wapi pesa, Mara 40 yake itafika tu.
Hawa ndio wabongo
Chai 600 banaDah nataman ningekuwa wewe;
Chai asbh 1000 kwa mwezi 30000/=
Hee Mchana 1000 mbonaMchana 2500, kwa mwezi 65000/=
400 banaJioni 1000,kula matunda kwa mwezi 30000/=
Nauli 1000 kwa mwezi 30000/=
Kuna totauti kati ya kuto kula vizuri(Quality) na kuto kula kushiba (Quantity)...vidonda vya tumbo vinasababishwa na kutokula kwa wakati au kuto kushiba.Rahisi sana lakini jiandae kuja kutibu vidonda vya tumbo utapokuwa tajiri kwa baadaye.