Naomba kuwa chawa wako...Mi ni bahili nadhani hata nakuzidi x 100, but sitaki kujitesa, na gari zuri expensive one, nina nyumba kali, kwangu kutamu balaa, na kila weekend nakula bata na saving kama kawa...... na hii kwangu ndo definition ya maisha
Kujitesa ni mwiko eti ili nije kuwa tajiri , never[emoji848]
Hahaha OKJitahidi uwe bahili kwa kadri utavyoweza, usikubali kuitwa mwana na machawa
KUWA Abnormal..wenzako wakienda kulia wewe nenda kushoto..become the blacksheep....nakazia tuSio lazima kushika watu mikono...kila mtu akomae kwa nafasi yake na ubahili wa hali ya juu...iyo 5% una data umeitoa wapi..!!?
..kua na hasira....fanya Kama chizi....kua abnormal..kua bahili...ukikaa kulia Lia hakuna wa kukusaidia....
Hahah boss nimeipenda hiiKUWA Abnormal..wenzako wakienda kulia wewe nenda kushoto..become the blacksheep....nakazia tu
Hauna mpango wa kuitwa Hayati wewe!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We uko kama mimi...nijitese eti kwa ajili ya future, siijui kesho yangu asee
Asee kunguni ninao wakutosha, nafanya kuwakung'uta na fagio ila bado wananinyonya damu...vampire[emoji88]Naomba kuwa chawa wako...
hayo ndo maisha bwana tafuta, save, tumia. Unajibanabana kwani umekuwa ushuzi.Mi ni bahili nadhani hata nakuzidi x 100, but sitaki kujitesa, na gari zuri expensive one, nina nyumba kali, kwangu kutamu balaa, na kila weekend nakula bata na saving kama kawa...... na hii kwangu ndo definition ya maisha
Kujitesa ni mwiko eti ili nije kuwa tajiri , never[emoji848]
Hakuna biashara itayokufa, hapo Kama umenielewa ni kuwa baada ya ubahili Kuna hayo maisha ya Raha.Doh! sawa bana
Ila wote tukichukua hii nadharia ya ubahiri mbona biashara nyingi sana zitateketea mjini
Sijamaanisha maisha yako yote uwe bahili, Ila pale utapokuwa na flow nzuri ya pesa kupitia investment zako.Umesahau kutuambia tuwe tayari kuachwa na Pisi kali nyingi sana mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Safi sanaHahaha OK
Hyo formula nna mwaka wa 2 sasa natumia
Unaweza kujinadi humu mafanikio
Watu wakaanza ksema unajifagilia
Any way wengine tunamkimbiza mwizi kimya kimya
Wangari Maathai
Ova
huyu mjinga haoni hilo gepu yet.Umesahau kutuambia tuwe tayari kuachwa na Pisi kali nyingi sana mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Simaanishi maisha yako yote, wapo ambao tayari wapo kwenye nafasi nzuri na hawana tena sababu ya kuwa mabahili.Sijamaanisha maisha yako yote uwe bahili, Ila pale utapokuwa na flow nzuri ya pesa kupitia investment zako.
Hizo pisi Kali zitakufuata popote ulipo
Kuwa na malengo mazuri, utapata majibu baada ya mudaKama ubahili mbona mie ni zaidi ya mchanyato wa mangi meli ma mangi sina lakini utajiri sipati
Shemeji yako kataka hela ya pedi nimempa mimba.
kuna wana wengine wako poa bwana kama umetulia sehem unakula zako bia nyama choma unahisi kabisa kutukowepo kwa mshikaji vibe linapungua kidg .tumia zingine zinakujaAsee kunguni ninao wakutosha, nafanya kuwakung'uta na fagio ila bado wananinyonya damu...vampire[emoji88]
Mie nnapojipa maksi ni kwenye kuvaa aisee...yaan mie kununua manguo kila mara walaa...nakaa hata mwezi nisinunue nguo...ila kwenye msosi dah..yaan mboga hata 4...ntakaanga samak...nikipigiwa simu sister firigisi zipo za kienyeji nafata..hapo ntapika firigisi,samak nakaanga uwii sijui juic matunda yote🤧🤧🤧napenda sana kupika na hubby anamzuka balaa..ila for the first tym leo sijanywa coca...! Naona usiku mzito!Mi ni bahili nadhani hata nakuzidi x 100, but sitaki kujitesa, na gari zuri expensive one, nina nyumba kali, kwangu kutamu balaa, na kila weekend nakula bata na saving kama kawa...... na hii kwangu ndo definition ya maisha
Kujitesa ni mwiko eti ili nije kuwa tajiri , never[emoji848]
Basi mkuu hongera sn,Kwa umri wako mdogo na mambo uliyoyafanya+ndoto ulizonazo unastahili nyota tano begani34yrs, Ila nimeanza mishe nikiwa na 24yrs after graduation