Mbinu za utajiri ni ubahili, bila kuwa bahili sahau utajiri. Faida yake naiona

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23] lazima ni mangi huyo
 
Saw mkuu iga matumizi ya hao Matajiri na Mienendo ya matumizi yao.. uje utupe mrejesho,

Achana na mtoa mada anayekushauri uhifadhi pesa ,ni muongo tu kama ulivyosema hapo mwanzo wa sentence.
 
Ni kweli ndo maaana Matajiri wengi hawaonekan kweny viwanja vya kula bata Mara kwa mara kwasababu walisha jizoesha ubahili enzi zao za utafutaji ili waweze kusave pesa
 
Team ubahili hebu tuipangie budget laki moja na nusu (150,000) ni namna gani itaweza kutoboa mwezi kwa mtu ambaye hajaoa,hana mke wala mtoto.lakini amepanga
Kabla ya yote tuangalie wastani tulionao kimatumizi,si tuna assume kila mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake. So 150,000 ÷ 30 = 5000, una 5k kwa matumizi ya siku when other factors remain constant. Sasa hapo jipigepige uhakikishe katika kila buku5 la siku unapunguza kiasi kwa ajili kodi, bili ya umeme, maji e.t.c

Maajabu ya dunia sasa kuna watu wana kipato chini ya hapo na wana familia yani mke na watoto en still gurudumu linasonga na ni Dar hii hii, no wonder toto likianza kudanga mzazi hana say aisee.
 

Ushauri sio mzuri kabisa huu, maisha ni kula maisha
Huu unahiri ni kujinyima raha za maisha tu

Wewe ni mlafi na mtumwa wa pesa na mali.
Endelea kuzikisanya then utakufa bila kula kadansee wala pipi za dunia

Kalaga baho
 
Ni kweli mkuu umeongea vyema na umeelewa kusudio la mleta mada
 
Hahaha mkuu naanza kukuelewa hapa,

Jitahidi sasa, sio mpaka upokee mshahara wa muhindi mwiso wa mwezi hizi fastfood ni za kwenda kula kila weekend..

na uhakikieshe una smartphone yenye camera kali, wakati unakula unajisnap .. na kushare na sisi kwenye social media, maisha ndio haya haya kula bata mkuu,

Kama ulivyosema hakikisha mshahara haukutani, ni mwendo wa kutumia tu!
 
Ubahili na kuacha kuhonga na kutotapanya hela ama kipato.
 
Ubahili anaouzungumzia mtoa mada ni wa matumizi ya vitu visivyo na lazima/ vitu vya matamanio ...

Lakini naona kama hawajaelewa alichokusudia, au wameamua kubadili tu mada..

Nieleweshwe labda sijamuelewa vyema.
Mkuu inaujua UBAHILI? Kimsingi hauna vitu vya matamanio hata vile muhimu ba vyenye maana hubifanyi huwa mtu Ana focus ktk kitu kimoja tuujj
 
Mkuu inaujua UBAHILI? Kimsingi hauna vitu vya matamanio hata vile muhimu ba vyenye maana hubifanyi huwa mtu Ana focus ktk kitu kimoja tuujj
Mkuu wewe umekuja na Definition yako na mtazamo wako pia ila mimi ndivyo nilivyelewa, ubahili sio kushindia kashata na kahawa tu, ubahili ni kuacha mbwembwe zisizo na msingi.
 
That's your lifestyle, leave his life style alone since you have no mandate to interfere his lifestyle. Got me you man?
 
Unaonesha wazi una wivu na una stress!
 
Mkuu principle ya utajiri ni kutumia pesa upate pesa, hiyo ya ubahiri kulala kwenye ngozi ya ng'ombe ni principle ya kizamani sana na inakufanya uwe tajiri uliyepitwa na wakati...
Bora hivyo ilimradi tu uwe tajiri!
 
Wana Jf wote humu ndani wanajiona km wewe hivi kwa nini lkn?
Disclaimer: Si maanishi huna maisha hayaa hasha
 
Dah baasi we lazima utakua umbo namba Tisa aka kenda yaani. NB: usiache kutumbua coz no one knows their tomorrow.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…