Soulja boy
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 4,052
- 7,375
Chuo wanaoana ni wachache sana.Darasa letu mpk tumemaliza mwaka wa 3 tulikua na wazazi 5 including mapacha..sijui wanaendelaje kwa sasa ila wote mpk tunaanza kupotezana miaka mitatu nyuma..walikua ni masingo maza..maana wale waliowapa ujauzito walioa wengine...
Kuna somo kubwa hapo...
Kujitakia 😅😅😅Darasa letu mpk tumemaliza mwaka wa 3 tulikua na wazazi 5 including mapacha..sijui wanaendelaje kwa sasa ila wote mpk tunaanza kupotezana miaka mitatu nyuma..walikua ni masingo maza..maana wale waliowapa ujauzito walioa wengine...
Kuna somo kubwa hapo...
Yes ...alikosaulikosa wa kukutongoza,,,,🤔
Si unizalie mm tulee nyamwiKuna wengine wanawishi kuzalishwa.. sio kama wanazalishwa kwa bahati mbaya ila tu wanataka wenyewe..
Kipindi nikiwa 4th yr nilitamani na mm nipate mtoto kwani marafiki zangu wengi walikuwa Wana mimba nawengine wamezalishwa..
Kidogo nami nilitaka kuhamasika😁
Ila nilikosa mtu WA kunitongoza...
Ila lait kama ningelipata mtu wa kunitongoza na nikamridhia huenda na mm ningezalishwa mapemaa saiv ningekuwa na watoto
N.B wale marafiki zangu waliozalishwa kipindi wapo chuo wachache wameolewa na hao hao waliowazalisha na wengine wanalea watoto wao ki mpango
wao..
Nimekutumia no yangu PM... nicheki😂😂Si unizalie mm tulee nyamwi
Usitabgaze sasa raraa reree ataambiwa hukoNimekutumia no yangu PM... nicheki😂😂
Hapana 😅Usitabgaze sasa raraa reree ataambiwa huko
Wewe ni mimi 💪Ukimpa mimba mtoto wangu, jua wewe au baba yako au babu yako atatunza hao viumbe. Kwangu No! Mtoto wangu wa kiume akimpa mimba binti, mjukuu na mkwe natunza
Chuo inadanganyaga sana wadada wakifika kule wanajionaga highly classed. Wanalaghaiwq kwq vitu vidogo vidogo sanaHapana 😅
Dah!...sio poa kabisaDarasa letu mpk tumemaliza mwaka wa 3 tulikua na wazazi 5 including mapacha..sijui wanaendelaje kwa sasa ila wote mpk tunaanza kupotezana miaka mitatu nyuma..walikua ni masingo maza..maana wale waliowapa ujauzito walioa wengine...
Kuna somo kubwa hapo...
Nimemtumia Kalaga Baho Nongwa ...😂Sijaiona Mbona 😅
Wewe umewahi kuona hio aibu baada ya kuzalishwa ukiwa Chuo?Sasa watamficha hadi lini Jamani? Ila ni aibu sana
Ache aambiwe tu yeye si ndo hanipi maji🥺Usitabgaze sasa raraa reree ataambiwa huko
Kumekuchaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa waliotoka bush na kuketwa mjina na chuo, bila chuo mji wangeliusikia tu. Hawa ndo wanadanganywa kirahisi na kujaa maana kila kitu kwao ni kipya.
Kama sio kuzaa basi wanafanya abortion hawa watoto.