Mkuu wengine walikua/ hawana option/chaguo wemezaliwa hizo ni mboga na chakula cha kila siku na mapishi flani chuku chuku.1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Usifananiahe dagaa wa ziwa victoria na vitu vya kijinga, mi ugali bila dagaa sijakuelewa1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Sio kweliChinese ilitumika kufifisha nyege kwa wachina ili wasizaane😂 ila bongo mnaona ndio mboga ya kufakamia kibwege.
Njoo Jumapili nikupikie rafiki, utafurahi sanaa1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Kumbe chines inaondoa nyege jaman, ndio maana kama nyege zimepungua jaman, ngoja nile mchicha ninavyooenda nyege jamanChinese ilitumika kufifisha nyege kwa wachina ili wasizaane😂 ila bongo mnaona ndio mboga ya kufakamia kibwege.
vinategemeana, ubaya uko wapi? We ndo umetafsiri tofauti!!Brain rot 🚮
Unahusanisha mapenzi ya chakula na sexuality ya mtu!
1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Sio kwamba wanazipenda ila ndizo wanaweza kumudu, ndizo zinapatikana kwa wingi.1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Hivi huwa kinafunguliwaje kutoka kwenye kopo kuna mlaji anaulizia huku? 🤣Kisamvu kitamu sana, hasa upate KISAMVU CHA KOPO, kimepondwa vizuri kikahifadhiwa kunako kopo.
Ni kitamu mno, kinanoga.
Cc: Mbaga Jr Poor Brain Extrovert Mzee wa kupambania SweetyCandy Lamomy Kapeace
😂😂😂😂😂😂😂 Ohoo ulikuwa haujuiKumbe chines inaondoa nyege jaman, ndio maana kama nyege zimepungua jaman, ngoja nile mchicha ninavyooenda nyege jaman
Endelea kula, siku unataka mtoto ndio utanikumbukaSio kweli
Survival skills eeh 🤣Sio kwamba wanazipenda ila ndizo wanaweza kumudu, ndizo zinapatikana kwa wingi.
Hizo si mboga ni Survival Skills.
Ningejuaje kama hujaniambia rafiki, nilikuwa nashangaa tuu zimepungua sanaa jaman😂😂😂😂😂😂😂 Ohoo ulikuwa haujui
Amin nakwambia.Survival skills eeh 🤣
Achana kabisa na ma chinese. 🤣 Kula kambale wale wa kukausha mfululizo utanipa majibu.Ningejuaje kama hujaniambia rafiki, nilikuwa nashangaa tuu zimepungua sanaa jaman
Hajapata mpishi mzuri. Dagaa wa mwanza watamu kinomaUlizila sana katika ukuaji wako!
Kazowea vya kurowekwa!Hajapata mpishi mzuri. Dagaa wa mwanza watamu kinoma