Mzibua Vyoo
Senior Member
- Nov 8, 2023
- 108
- 241
Nakula kila kitu. Kasoro mavi tuOysters unakula?
Chaza jee na chuale unakula?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakula kila kitu. Kasoro mavi tuOysters unakula?
Chaza jee na chuale unakula?
Hupendi mtindi? Hupendi mbogamboga? Hupendi utumbo?🤣🤣🤣Mi wa hapa hapa mkuu..
Sema mkuu unapenda vitu vya ajabu tu acha kutetea mambo yako😂😂😂😂😂😂
Namshangaa Poor Brain ananishangaa🤣Utumbo na mnavu ni OG sana😂
Hapana, kiazi kama carrot. Kinakuwa cheupe na juu yake ndio inaotea hio mboga inaitwa figiliKiazi cheupe au unaongelea magimbi? 😣
Kitu cha maana kabisaHupendi utumbo uliochanganywa na mboga za majani mkuu?🤣
😂😂😂🏃🏃Kikubwa tatizo la kukaukiwa maji kwa bibi utakuwa huna kabisa 😍
Anhaa daah kweli nilikuwa mgeni wa hii mboga, hicho kiazi ni kitamu Angel?Hapana, kiazi kama carrot. Kinakuwa cheupe na juu yake ndio inaotea hio mboga inaitwa figili
Sawa vitoto vya burger, pizza, chicken wings etc etc.1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Huli magimbi?Kiazi cheupe au unaongelea magimbi? 😣
Atakwambia hizo ulizotaja ni kachumbari tuKama hukuwahi kula dagaa na Chinese by the age 0-29 hapa basi wewe ni wa kishua
Ila mkali Sasa wee hutumii mboga yoyote Ata cabbages,bilinganya, bamia yan hutumii yoyote Kati ya hizo
Sukari tena? Yenye sukari sipendi yananitia kichefuchefu.Me too, ila niyaweke sukari tu. Yakiwa bila sukari hata uende ulaya utarudi utayakuta vile vile
Prof. Janabi ana kazi ya kufanya!!!🤔1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Bila sukari sinywi, nashangaaga watu wanakulaje mtindi na ugali.Sukari tena? Yenye sukari sipendi yananitia kichefuchefu.
Wee jamaa kumbe jau et...Hupendi mtindi? Hupendi mbogamboga? Hupendi utumbo?🤣🤣🤣
Ugali na mtindi pekee nakula vizuri kabisa.Bila sukari sinywi, nashangaaga watu wanakulaje mtindi na ugali.
Kuna watu wapo serious et wanatetea utumbo na mtindi 😂😂😂😂Namshangaa Poor Brain ananishangaa🤣