Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Na kuna yale madagaa fulani makubwa yana Miiba kama samaki Yani yale ndo huwa sitaki hata kuyaona....kama nikiwa ugenini ukitaka kunifukuza we nipikie tu yale madude yani ukinipa mchana..jioni nakuaga naondoka zangu hutokuwa na haja hata ya kunifukuza.
Sadin!!?
 
Hayo maharage kama gololi ni njugu mawe. Ukitaka nilale njaa pika hayo hata jikoni sitakuja.
Mimi njugu mawe hata ile harufu yake sipatani nayo.
Nimejaribu kula vyakula vyote ambavyo nilivokuwa mdogo vilikuwa vinanishinda...vote nimeviweza kasoro njugu mawe. Yaani mie nyumbani kwangu sijawahi kuzipika ht Kwa bahati mbaya
 
Aiseeee naweza piga mtu mimi..
Alafu unajua nakuaga na hasira mbaya sana mtu akipika kitu sipendi mfano hapo kapika NYANYACHUNGU na ugali

Hiyo siku naweza piga mtu mpaka wakaja polisi..

Akijipikia basi aombe apikie kwa jirani mimi nipo very sensitive kwa harufu ya hayo madude tuu
Mimi basi nyanya chungu ziungwe za nazi hlf zifanye km kuungua hivi kdg...mmhh naweza kuzila bila ht wali au ugali 😋.
Nilivokuwa mdogo nami sikuwa nazila ila saiviii mmhhh huwa nazinunua mwenyewe na kuzipika.
Halafu vyakula vyenye faida ndio vimekosa bahati
 
Et vyakula vyenye faida 😂😂😂😂😂
Una matatizo wewe
 
Mimi basi nyanya chungu ziungwe za nazi hlf zifanye km kuungua hivi kdg...mmhh naweza kuzila bila ht wali au ugali 😋.
Nilivokuwa mdogo nami sikuwa nazila ila saiviii mmhhh huwa nazinunua mwenyewe na kuzipika.
Halafu vyakula vyenye faida ndio vimekosa bahati
Et zifanye kama zimeungua hivi 😂😂😂😂😂 kichwani una nini wewe
 
Back
Top Bottom