EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 3,781
- 12,091
Hayo hayo makubwa ukitafuna domo linajaa mimaji kama mjamzito kweli mabilingani kiboko🤣🤣We utakuwa unaongelea yale mabilinganya (mabilingani) yale makubwaaa hayana ladha. Zanzibar kuna mabiilingani madogo madogo yana kokwa nyingi. Hayo pishi lolote yanakubali. Lkn zaidi ya kukaanga tena yapikwe na maganda yake. Mmhh, yummy 😋😋😋