Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Mie huwaambia watu usiseme chakula huli sema chakula hakijapata mpishi.Mlenda sijawahi kuuula
Kisamvu nishawahi ni kibaya sana
Kisamvu kizuri sn. Kilokolea nazi na kitunguu maji na hiliki 😋. Na uzuri wake unaweza kula na chakula chcht, wali, ugali na hata mkate