Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
๐๐๐๐๐Wakati nalelewa nilikua sili kabeji,nyanya chungu,dagaa na vingine yani nilikua nachagua vyakula ila sasa hivi nakula mpaka mahindi ya kukaanga kwa hyo usijali life ndio linakuchagulia ulaje