Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Mboga nisizopenda katika maisha yangu

Nimeona watu wenye pressure ya kupanda wanakula sn wanasema zinashusha. Nikimuona marehemu mama akizipika sn akisema zinamsaidia kwa pressure. Sa kipindi hiko mie ndio nlikuwa sizielewi na ule uchungu wake
Wee bana weee mi unishawishi na hayo madude yako mana nakuona tuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
1.Mchicha. 2.Mlenda. 3.Kisamvu. 4.Dagaa wa mwanza. 5.Chinese. Hizi mboga sizielewi sijui kwa nini watu wanazipenda
Ed, I didn't know whether there is dagaa wa mwanza in UK and I do like your song tittled "bad habit"
 
Wala hata πŸ˜ƒ hizi amekua akipika bi mkubwa wangu toka nakua na mimi nikazipenda ndio napika hadi leo. Kuna bamia, biringanya ni mboga ambazo siwezi acha kula ingawa watu wengi wana bifu nazo.
Haya nyamaza sasa utapigwa wewe....
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mi mlenda haunilishi kirahisirahisi labda tupigane masaa matatu nikupige ukimbilie ukaite ndugu zako mje kunichangia niwapige mkimbie mkaite ukoo wenu niwapige nusu ya ukoo wenu mmoja anivizie anipige na nondo nizimie ndo mnilishe
 
Back
Top Bottom