Mboga zangu 5 simple nizipendazo kulia chakula (hasa ugali) na Jinsi ninavyoziandaa

Mboga zangu 5 simple nizipendazo kulia chakula (hasa ugali) na Jinsi ninavyoziandaa

Wanaume wengi wa kibongo hawanaga mazoea ya kujipikilisha wapo ila ni wachache kutokana na mifumo ya malezi isiyo sahihi ya kuzani mtoto wa kiume hatakiwi kuwa mazoea na jikoni kumbe siyo sahihi hata kidogo.

Wanaume wengi wa kibongo wakishapata exposure kwa kwenda kusoma au kufanya kazi nje ya nchi ndipo hujifunza na kuona wanaume wenzao wakijipikisha wenyewe kwa wepesi nao wanaona kumbe Mwanaume kupika ni jambo la kawaida na la kutokulionea aibu!
na wanaume wengi wanaojua kupika walijifunza wenyewe tofauti na dada zetu ambao hufundishwa tangu utoto.
 
Heee...anyway, forget it
si umwambie tu kwann sasa umeghairi? sio vibaya kumkumbusha maana anakua ka reply comment nyingi sazngine anatamani kujua nini unataka,wewe unamleta kwenye lengo.

akikataa sasa au kuzungusha ndio ruksa kughairi,sema unasusa haraka na wewe ktu kdg tu!
 
Nawaogopa sana wanaume ambao they can take a good care of themselves, wengi huchelewa kuoa ama wasioe kabisa..
Imagine juzi job kuna wakaka tulikuwa tunabishana nao bei ya nyanya sado..! 😂 😂
Maisha yamekuwa tight Dada. So ili kubana matumizi, some of us have opted to do such stuffs ourselves. Na kuoa bado kupo pale pale.
 
Kula nje ni mtihani Sana. Niko radhi nipike lisaa lizima kuliko kula nje
hamna kitu inaboa kama kutoa hela kununua chakula then unaletewa kibaya,na ukiletewa kitamu basi ni kiduchuuu yani wanakuonjesha,hii shida yote yann kwann mtu usipke hata lisaa lizima ukila una feel msosi wako na unaona kbsa matunda ya kazi na mahangaiko yako ya siku nzima.
 
Kati ya mboga inanishinda kwa sasa ni maini rosti, Yana kaarufu flani hivi, navile sipendi ndimu au kitunguu swaumu kwenye mboga yaani ni tabu tupu
maini nayo yanahtaji mazoea nadhani maini n chakula ambacho watu wengi tulikua hatuli tangu utoto na ndio mana hata n wachache wanaoyapenda na ni wachache wanaojua kuyapika pia.
 
sili wala sigusi wala kukaribia

hoho
nyanya chungu(ngogwe)
bamia (mlenda kwa ujumla)
biringanya

hizo vitu sigusi kabisa lakini naweza kupika kitu ambacho siwezi pika wala sitokaa nitake kupika ni mlenda,lakini hizo ngogwe,bamia,biringanya kichanganya pamoja ukapika ni mboga ambayo mama angu mzazi anaipenda sana kula na ugali.

ninapopata mgeni nyumbani nikipka dagaa huwa naweka ngogwe au biringanya lakini kwenye kula nampakulia vyote mgeni mimi nakula dagaa tupu.

napenda mboga zote za majani kasoro majani ya maboga (sijawahi yaelewa kila nikijahdi kuyaelewa inakataa)
Mkuu siku jaribu kupika majani ya maboga kwa carrots za kusaga,kitunguu,pilipili,curry powder,nazi ya azam na peanut butter kwa mbali....alaf pembeni pika rosti lako la maini na ugali......thank me later[emoji41]
 
hamna kitu inaboa kama kutoa hela kununua chakula then unaletewa kibaya,na ukiletewa kitamu basi ni kiduchuuu yani wanakuonjesha,hii shida yote yann kwann mtu usipke hata lisaa lizima ukila una feel msosi wako na unaona kbsa matunda ya kazi na mahangaiko yako ya siku nzima.
Kuna siku nilienda kula sehemu nayopenda kupiga gambe nikaagiza makange ya mbuzi na chips, nimekula wee nakaribia kumaliza nikakutana na shingo la kuku. Nilitaka kutapika.

Yaani hiyo ilisababisha nirufi kwenye msimamo wangu was kunipikia
 
Tuko sawa mboga zote Ila sio mtindi aisee Nani anataka tumbo kukaa gesi kijambajamba ovyo
mtindi mzuri mkuu mtamu sana,mbona zipo njia za kutoa gesi tumboni nzuri lakini bila kusahau kujamba sio dhambi.
 
maini nayo yanahtaji mazoea nadhani maini n chakula ambacho watu wengi tulikua hatuli tangu utoto na ndio mana hata n wachache wanaoyapenda na ni wachache wanaojua kuyapika pia.
Alafu kwanini ukila maini ukienda kukata gogo no tafrani[emoji23]
 
Mkuu siku jaribu kupika majani ya maboga kwa carrots za kusaga,kitunguu,pilipili,curry powder,nazi ya azam na peanut butter kwa mbali....alaf pembeni pika rosti lako la maini na ugali......thank me later[emoji41]
naomba ukipika siku 1 nione picha ya jinsi kinavyoonekana tu kwanza...
 
Kuna siku nilienda kula sehemu nayopenda kupiga gambe nikaagiza makange ya mbuzi na chips, nimekula wee nakaribia kumaliza nikakutana na shingo la kuku. Nilitaka kutapika.

Yaani hiyo ilisababisha nirufi kwenye msimamo wangu was kunipikia
maknge ya mbuzi umekutana na shingo ya kuku, 😂 😂
 
Back
Top Bottom