Mboga zangu 5 simple nizipendazo kulia chakula (hasa ugali) na Jinsi ninavyoziandaa

Mboga zangu 5 simple nizipendazo kulia chakula (hasa ugali) na Jinsi ninavyoziandaa

Hilo mi nalipikia wali
mpk naweza na kumaster pikia wali kwenye jiko la gesi,hapo nimeshakula wali mbichi mara nyingi sana.

saivi nishakua mbobevu Rice cooker limekaa tu hata sielewi nilinunua lanini maana lipo tu pale limekaa.
 
Sosi la/ya mayai au dagaa ni kitoweo.

Mtindi ni maziwa yaliyochachushwa na bakteria yanayotumika kama kinywaji au kitoweo.

Nasisitiza mtindi, dagaa na mayai sio mboga.
mkuu ujue unafanya mambo magumu bure tu,tukisema tutumie kiswahili fasaha hatutoelewana humu ndani.
 
Tatizo kwenda sokoni.
Wadada wananiangalia kinoma.
Alafu urudi uanze kuandaa hivyo vitu vya kupika mpaka umalize hamu ya kula yote imeisha
we unawaangalia hao mkuu? sasa unaweza kwenda nunua mkaa kweli wewe?

kuukoleza hadi ukoleee je? brother kupika hakutaki aibu wala uoga halafu kupika

umejifungia jikoni utatoa chakula kibaya,jiachie,relax koleza mkaa,pepeta mchele,pembua pika pilau hiloo 😂
 
Hawachelewi kuulizana huyu mkaka hizi mboga katumwa au anaenda kupika mwenyewe.
Si aoe.
Nikaona isiwe tabu.
we unawaangalia hao mkuu? sasa unaweza kwenda nunua mkaa kweli wewe?

kuukoleza hadi ukoleee je? brother kupika hakutaki aibu wala uoga halafu kupika

umejifungia jikoni utatoa chakula kibaya,jiachie,relax koleza mkaa,pepeta mchele,pembua pika pilau hiloo [emoji23]
 
Daah enzi za ubachela ilikuwa hivi.....

Kupika wali wa hiliki,pilau,wali nazi samaki nazi, maharage nazi, maharage ya karanga, nyama choma/kavu.

Ndizi na utumbo, viazi mviringo hivi nilikuwa napika na nyanya na pia vikavu vya mafuta na vitunguu.

Chapati za maji na za kusukuma,

Kuchambua matembere na majani ya maboga,mchicha, chainese , viazi vitamu,kuku kila kitu nafanya mwenyewe,

Dagaa,kambare, hayo mayai upikaji wake ni aina kama mbili hivi

1.kuyakaanga na nyanya na karoti na hoho

2.kuyachemsha na kuunga kama unavyoumga nyama ya mchuzi.


Kukuna nazi hili pia nilifanya mpaka wapenzi wangu wakija ghetto ilikuwa ugomvi lazima waseme hapa kuna mtu kaja kukupikia na hili jambo kiukweli majirani wakinishangaa sana hasa wakiona naenda kuchuma matembere na kukuna nazi ila maneno ni kwamba huyu jamaa hawezi kuoa maana hakuna kitu asichojua kupika.

wanawake walikuwa hawajiamini mbele yangu kama nikiwa pembeni halafu yeye anapika.

Hii kitu mpaka leo huwa nashindwa kula sehemu nyingi sababu naona wapikaji wengi wa vyakula tunavyonunua haviko sawa hivyo huwa naweza kukaa na njaa niende nikale kwangu tuu.

Ila kujua kwangu kupika sikujifunzia nyumbani maana kwetu sisi wanawake walikuwa wengi sana sisi watoto wa kiume hata kugusa kikombe cha chai kuosha hatukuwahi.

Mambo hayo ni muda mrefu ndio nimeyafanya ila sio kwa sasa siwezi naweza hasa nikiwa safarini au kazi za camp.

Mwanaume kujua kupika kuna umuhimu sana saaana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vyote hivyo nakorofisha pia hupenda nyama ya kukaanga kwa ugali pembeni kuna kachumbari pia prawns wa kukaanga lakini unaacha sosi kidogo hawa ni kwa wali. Sasa hivi niko kwenye zoezi kali sana la kujifunza kupika pilau. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Mie pia sipendi kula nje nafanya hivyo mara moja moja sana.
At least wewe unakula vizuri. Ila huyu jamaa anakula ili ashibe tu(asife).
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Vyote hivyo nakorofisha pia hupenda nyama ya kukaanga kwa ugali pembeni kuna kachumbari pia prawns wa kukaanga lakini unaacha sosi kidogo hawa ni kwa wali. Sasa hivi niko kwenye zoezi kali sana la kujifunza kupika pilau. [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Mie pia sipendi kula nje nafanya hivyo mara moja moja sana.
At least wewe unakula vizuri. Ila huyu jamaa anakula ili ashibe tu(asife).
 
Hamna siku ambayo nimekosa kula ugali na vitunguu,sio mchana sio usiku mimi ni ugali vitunguu
 
Inadibidi tujue jinsi ya kujizuia na kuwa na kiasi.

Hata kama unapesa ya kununua trays za mayai lakini lazima ujue kujizuia [emoji108][emoji108]

Kitaalam inashauriwa mtu kula mayai 2-3 tu kwa wiki moja tena hasa sehemu nyeupe!

Sasa wabongo akijaliwa vijisenti kidogo basi atayatifua mayai mpaka basi!

Hata nyama vivyo hivyo n.k
unazungumzia mayai gani bosi
km kuku wa kienyeji yule wa kiswahili kabisa anayejitafutia chakura mwenyewe wala hapewi chanjo ama dawa yoyote
ambae YAI lake 1 dogo ( udogo wake ni mara 2 ya lai la kizungu) ambapo thamani yake ni tshs 1000 kuendelea
basi huo utafiti wako ni batili mno

ukiacha MAZIWA ASARI PARACHICHI basi YAI la kuku hivyo vitu katika kimoja wapo kwa siku usikose
ama lah Uchumi na muda na upatikanaji ukiruhusu kwa ustawi wa AFYA ya mwuli wako yapaswa usikose kura kira siku
 
Nawaogopa sana wanaume ambao they can take a good care of themselves, wengi huchelewa kuoa ama wasioe kabisa..
Imagine juzi job kuna wakaka tulikuwa tunabishana nao bei ya nyanya sado..! [emoji23] [emoji23]
kwa sisi watu wa Wa mwambao waPWANI hasa visiwani
sokoni tunaenda wenyewe tena NZANZIBAR ni kawaida kumkuta baba na kapu lake la ukili anatoka SOKONI kununua mahitaji
mfano mm ninajua bei ya bidhaa sokoni na machimbo kuliko mkewangu 7bu nimeshazoea tangu na mzee wangu kwenda SOKONI kununua mahitaji
hvyo usishangae kukutana wakaka wa hivyo ni kawaida
tena watu km mm sokoni nachutama kabisa kuchagua kizuri na kibaya na bei nalalia wala AIBU sioni ni kawaida tu dadaangu
 
si umwambie tu kwann sasa umeghairi? sio vibaya kumkumbusha maana anakua ka reply comment nyingi sazngine anatamani kujua nini unataka,wewe unamleta kwenye lengo.

akikataa sasa au kuzungusha ndio ruksa kughairi,sema unasusa haraka na wewe ktu kdg tu!
Sijasusa wala, nimeona tu uvivu kueleza maana nilichouliza kiko wazi ...amereply comments nyingi kwani niliyomquote hajui inahusu nini?
 
Back
Top Bottom