Mboga zangu 5 simple nizipendazo kulia chakula (hasa ugali) na Jinsi ninavyoziandaa

Mboga zangu 5 simple nizipendazo kulia chakula (hasa ugali) na Jinsi ninavyoziandaa

Inadibidi tujue jinsi ya kujizuia na kuwa na kiasi.

Hata kama unapesa ya kununua trays za mayai lakini lazima ujue kujizuia [emoji108][emoji108]

Kitaalam inashauriwa mtu kula mayai 2-3 tu kwa wiki moja tena hasa sehemu nyeupe!

Sasa wabongo akijaliwa vijisenti kidogo basi atayatifua mayai mpaka basi!

Hata nyama vivyo hivyo n.k
Gerarahiyaaaa....hayo madhara wangepata wazee wetu huko toka kitamboo..lakini still wanakandamiza miyai mpaka leo...

Wakati mwingine ujuvi mwingi kumbe ni uchizi na kujikosesha utamu .
 
kwa sisi watu wa Wa mwambao waPWANI hasa visiwani
sokoni tunaenda wenyewe tena NZANZIBAR ni kawaida kumkuta baba na kapu lake la ukili anatoka SOKONI kununua mahitaji
mfano mm ninajua bei ya bidhaa sokoni na machimbo kuliko mkewangu 7bu nimeshazoea tangu na mzee wangu kwenda SOKONI kununua mahitaji
hvyo usishangae kukutana wakaka wa hivyo ni kawaida
tena watu km mm sokoni nachutama kabisa kuchagua kizuri na kibaya na bei nalalia wala AIBU sioni ni kawaida tu dadaangu
Nashukuru kwa maelekezo, kwa huku kwetu haya kidogo hayajazoeleka mno na si kwamba hayatokei hapana..! Yanatokea ila si kwa kiwango kile mpaka tuone ni kawaida..
 
unazungumzia mayai gani bosi
km kuku wa kienyeji yule wa kiswahili kabisa anayejitafutia chakura mwenyewe wala hapewi chanjo ama dawa yoyote
ambae YAI lake 1 dogo ( udogo wake ni mara 2 ya lai la kizungu) ambapo thamani yake ni tshs 1000 kuendelea
basi huo utafiti wako ni batili mno

ukiacha MAZIWA ASARI PARACHICHI basi YAI la kuku hivyo vitu katika kimoja wapo kwa siku usikose
ama lah Uchumi na muda na upatikanaji ukiruhusu kwa ustawi wa AFYA ya mwuli wako yapaswa usikose kura kira siku


Hapa tupo ku share maarifa juu ya maswala ya lishe kuhusiana na ulaji wa mayai ya aina zote,

Sasa kwa kuwa akili yako inakutuma kuwa mayai ya kienyeji hayana madhara hata ukila kila siku basi wewe endelea kula kila siku kama ulivyoandika sababu hakuna wa kuja kukushika mkono kukuzuia usile ili usipate madhara tena ukizingatia kuwa utakuwa unakula jasho lako nani aje kukuzuia?!

Ukizingatia kuwa mchuma janga siku zote hula na wakwao sasa ya nini tuanze kulumbana humu!

Kula kila siku kwa raha zako achana kabisa na kile nilichokiandika!
 
pika mkuu kama una vitendea kazi vyote mkuu pika,kama hupiki

nakuhakikishia afya uliyonayo si yako,pika hebu halafu utaona.
ngoja nijivute nione naanzaje kukata nyanya ,kuosha vyombo, and the likes
 
Mkuu usiombe ukutane na anayejua kupika maini,yatakuwa your new fav side dish tena km jioni upate na ndizi mzuzu fried au chips na fresh juice.....aah usiku unalala tu
daaa hii comm3nt imenpa kiu ghafla yaan napenda juice ya matunda n hatari[emoji39][emoji39][emoji39]
 
Hawachelewi kuulizana huyu mkaka hizi mboga katumwa au anaenda kupika mwenyewe.
Si aoe.
Nikaona isiwe tabu.
usiwaze mtu mkuu,maisha yenyewe yako wapi yakuangalia flani atasema nn akiniona!
 
Futa au rekebisha kauli yako kwenye post #113 ili na wengine uliowaaminisha kuwa dagaa, mtindi na mayai ni mboga waelewe kwa Kiswahili
📌Dagaa, mtindi na mayai si mboga.📌
we mwalimu nawewe,mbona ivyo lakini
 
Hivi thread hii kaileta ME au KE?
Maana nashindwa kuelewa mjue
Ivi kama ME anaweza yote haya kwel?
Huo mda anaupataje kuandaa yote haya jaman
Ila kwa ufupi nimeupenda uzi
Nahisi nitaanza kujifunza na mimi ili nionekane na mimi Janaume kutoka DAR
Ili nikienda ukweni wajue jana ume la Dar limeingia halilishwi NKALANGO na MASHISHANGA maana walizoea sana kunilisha mi mboga yao ya kiajabu ajabu
 
Me napenda kupika lakini nikifikiria kumenya menya vitu ndipo huwa naghaili.
 
usiwaze mtu mkuu,maisha yenyewe yako wapi yakuangalia flani atasema nn akiniona!
Naomba unitafutie nyuzi zinazohusu mapishi ya tambi nataka nikorofishe mambo hapa. Kila kotu kipo ila sijui kipi kinahitajika.. Thanks
 
Naomba unitafutie nyuzi zinazohusu mapishi ya tambi nataka nikorofishe mambo hapa. Kila kotu kipo ila sijui kipi kinahitajika.. Thanks
kwanza mimi ssiweki sukari kwenye tambi kama wengine sijui wewe kama unafanyaga hivyo...
 
Naomba unitafutie nyuzi zinazohusu mapishi ya tambi nataka nikorofishe mambo hapa. Kila kotu kipo ila sijui kipi kinahitajika.. Thanks

Njia ya kwanza...

Andaa viungo vyako vyote

Nyanya
karoti
Hoho
pilipili (kama unatumia)
kitunguu
mboga ya majani kiasi tu.
Tambi zako.

Jinsi ya kupika

pika kila kitu pamoja yani karoti,kitunguu,hoho,nyanya weka kwenye sufuria koroga mpk vikaribie kuiva kisha dumbukiza tambi ulizokata kata changanya vzuri na mchanganyiko wako funikia kwa moto mdogo sana sana acha ndani ya dk 10 ukifunua mzigo tayari huo.
 
Hongera sana kwa juhudi., napenda kupika pia ila sio nikiwa nimechoka.,

Nikichoka nipikiwe tu tutakula kilichopo tulale.,hata km ni supu ya kunde😅
 
Ulishawahi pika tambi mayai.
Inatoka Kama chipsi yai vile.
hapana mimi tambi mayai zangu huwa napika tambi kama kawaida then zikiwa zimeiva namwagia mayai nkisha nachanganya mpk mayai yaive,mzigo nautoa uko tyr.
 
Tuna enda pamoja kila seem kasoro kwenye mtind situmii kabisa

Pia kwenye iyo masala sijuh situmii naweka karanga za kusaga

Mimi parachichi ndio na weza kula na Gari sio mtindi
 
Naomba unitafutie nyuzi zinazohusu mapishi ya tambi nataka nikorofishe mambo hapa. Kila kotu kipo ila sijui kipi kinahitajika.. Thanks
chemsha tambi pembeni peke ake ziive kisha chuja maji kbsaa Andaa sufuria yako anza kukaanga viungo vyako kimoja kimoja kupata sotojo tamu malizia na nyanya zako na mwsho kabisa njoo weka zile tambi ulizochemsha ambazo tyr umeshazichuja maji vuruga kwenye huo mchanganyiko ukiridhika kbsa kuwa vimechanganyika vyakutosha,basi imeisha hiyo Epua andaa peleka mezani Gonga mambo.
 
Back
Top Bottom