AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Gerarahiyaaaa....hayo madhara wangepata wazee wetu huko toka kitamboo..lakini still wanakandamiza miyai mpaka leo...Inadibidi tujue jinsi ya kujizuia na kuwa na kiasi.
Hata kama unapesa ya kununua trays za mayai lakini lazima ujue kujizuia [emoji108][emoji108]
Kitaalam inashauriwa mtu kula mayai 2-3 tu kwa wiki moja tena hasa sehemu nyeupe!
Sasa wabongo akijaliwa vijisenti kidogo basi atayatifua mayai mpaka basi!
Hata nyama vivyo hivyo n.k
Wakati mwingine ujuvi mwingi kumbe ni uchizi na kujikosesha utamu .