AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
Gerarahiyaaaa....hayo madhara wangepata wazee wetu huko toka kitamboo..lakini still wanakandamiza miyai mpaka leo...Inadibidi tujue jinsi ya kujizuia na kuwa na kiasi.
Hata kama unapesa ya kununua trays za mayai lakini lazima ujue kujizuia [emoji108][emoji108]
Kitaalam inashauriwa mtu kula mayai 2-3 tu kwa wiki moja tena hasa sehemu nyeupe!
Sasa wabongo akijaliwa vijisenti kidogo basi atayatifua mayai mpaka basi!
Hata nyama vivyo hivyo n.k
Nashukuru kwa maelekezo, kwa huku kwetu haya kidogo hayajazoeleka mno na si kwamba hayatokei hapana..! Yanatokea ila si kwa kiwango kile mpaka tuone ni kawaida..kwa sisi watu wa Wa mwambao waPWANI hasa visiwani
sokoni tunaenda wenyewe tena NZANZIBAR ni kawaida kumkuta baba na kapu lake la ukili anatoka SOKONI kununua mahitaji
mfano mm ninajua bei ya bidhaa sokoni na machimbo kuliko mkewangu 7bu nimeshazoea tangu na mzee wangu kwenda SOKONI kununua mahitaji
hvyo usishangae kukutana wakaka wa hivyo ni kawaida
tena watu km mm sokoni nachutama kabisa kuchagua kizuri na kibaya na bei nalalia wala AIBU sioni ni kawaida tu dadaangu
unazungumzia mayai gani bosi
km kuku wa kienyeji yule wa kiswahili kabisa anayejitafutia chakura mwenyewe wala hapewi chanjo ama dawa yoyote
ambae YAI lake 1 dogo ( udogo wake ni mara 2 ya lai la kizungu) ambapo thamani yake ni tshs 1000 kuendelea
basi huo utafiti wako ni batili mno
ukiacha MAZIWA ASARI PARACHICHI basi YAI la kuku hivyo vitu katika kimoja wapo kwa siku usikose
ama lah Uchumi na muda na upatikanaji ukiruhusu kwa ustawi wa AFYA ya mwuli wako yapaswa usikose kura kira siku
ngoja nijivute nione naanzaje kukata nyanya ,kuosha vyombo, and the likespika mkuu kama una vitendea kazi vyote mkuu pika,kama hupiki
nakuhakikishia afya uliyonayo si yako,pika hebu halafu utaona.
daaa hii comm3nt imenpa kiu ghafla yaan napenda juice ya matunda n hatari[emoji39][emoji39][emoji39]Mkuu usiombe ukutane na anayejua kupika maini,yatakuwa your new fav side dish tena km jioni upate na ndizi mzuzu fried au chips na fresh juice.....aah usiku unalala tu
Mm nikiwaza kuosha osha vyombo baaaasi. Nabadilisha shughuli.Me napenda kupika lakini nikifikiria kumenya menya vitu ndipo huwa naghaili.
Naomba unitafutie nyuzi zinazohusu mapishi ya tambi nataka nikorofishe mambo hapa. Kila kotu kipo ila sijui kipi kinahitajika.. Thanksusiwaze mtu mkuu,maisha yenyewe yako wapi yakuangalia flani atasema nn akiniona!
Ulishawahi pika tambi mayai.kwanza mimi ssiweki sukari kwenye tambi kama wengine sijui wewe kama unafanyaga hivyo...
Naomba unitafutie nyuzi zinazohusu mapishi ya tambi nataka nikorofishe mambo hapa. Kila kotu kipo ila sijui kipi kinahitajika.. Thanks
chemsha tambi pembeni peke ake ziive kisha chuja maji kbsaa Andaa sufuria yako anza kukaanga viungo vyako kimoja kimoja kupata sotojo tamu malizia na nyanya zako na mwsho kabisa njoo weka zile tambi ulizochemsha ambazo tyr umeshazichuja maji vuruga kwenye huo mchanganyiko ukiridhika kbsa kuwa vimechanganyika vyakutosha,basi imeisha hiyo Epua andaa peleka mezani Gonga mambo.Naomba unitafutie nyuzi zinazohusu mapishi ya tambi nataka nikorofishe mambo hapa. Kila kotu kipo ila sijui kipi kinahitajika.. Thanks