Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa??

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Wanasubiri mialiko ikulu....
 
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa??

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Wengine kina nani sasa! Hao mamluki? They have been compromised !
 
Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa.

Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa?

Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
Vyama vingine ni Mawakala wa CCM, Remote control zao Ipo Lumumba, wanasubiri mambo malaini kama vikao vya msajili na taskforce. Hii ya kutishiwa mara uhaini na uchochezi hawawezi.
 
'CDM Wanafanya Siasa Peke Yao'....!

Unao Uhakika na Sentensi yako...?

Kwani Wanafanyia Wapi..?

Nimeenda Ufipa kuhakikisha nimekuta Pamepoa kimyaa..!

Wako wapi.?

Huwa tunachoka na propaganda ndio mana tunaishia kusema mambo yao Wanafanyia nyuma ya Keyboard...!

Ukisikia Maandamano, Ujue Nyuma ya Keyboard.... Watu wanaandamana kwa Vidole...Achana na CDM!!
 
Back
Top Bottom